Kuwaita viongozi wetu wakuu kuwa ni madhalimu ni kukosa busara, tangu tupate uhuru hakuna Rais aliyetawala kwa Presidential Decrees.

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.

Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka asubuhi anaamrisha watu watekwe,wapigwe na kuweka curfew?

Je, hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.
 
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.

Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka asubuhi anaamrisha watu watekwe,wapigwe na kuweka curfew?

Je hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.
Na wewe umekuwa mnafiki siku hizi
 
😍😍
 
Hakika.....

Taifa hili bora lenye utulivu na amani ya kupigiwa mfano limeendelea kupata Marais wake wazalendo na wasio na ubabe/udhalimu/udikteta tuuonao nchi za wenzetu.

Umenikumbusha Mh.Kikwete alipata kuitwa DIKTETA ....akajibu "hivi mimi Kikwete kweli nimefikia kuwa dikteta ,kweli kabisa,mbona hata sijayatumia madaraka makubwa yaliyopo ndani ya katiba"?

Yasikilize maneno yanayokanganya ya Mh.John Mnyika Katibu Mkuu Wa CHADEMA:-

1)Tuna Rais Legelege- Mh.Kikwete

2)Tuna Rais Mbabe na Dikteta- Awamu ya 5

IMHO:- JMT imebarikiwa sana kuwa na Marais 6 ambao siku zote walikuwa pamoja bila ya KUHASIMIANA.....

SIEMPRE JMT
SIEMPRE CHIFU MKUU HANGAYA aaaamin aaaamin🙏
 
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.

Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka asubuhi anaamrisha watu watekwe,wapigwe na kuweka curfew?

Je hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.
Ila kubambikia kwako nibusara
 
Yule aliyezuia mikutano ya adhara ya vyama vya siasa wakati watangulizi wake hawakufanya hivyo alitumia sheria ipi? Ni dhalimu kama madhalimu wengine hata mumteeje.
 
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.

Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka asubuhi anaamrisha watu watekwe,wapigwe na kuweka curfew?

Je hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.
Magufuli alitawala kwa katiba na kwa amri zake.
 
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.

Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka asubuhi anaamrisha watu watekwe,wapigwe na kuweka curfew?

Je hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.
Kama reference ya Jiwe kwako haitoshi basi Tanzania hakujawahi kuwa na Dicteta.
 
Usitake kuchanganya marais wote kwenye huu Utetezi wako, aliyekuwa dhalimu ni Magufuli, na uchafu wake mwingi sio siri, bali mfumo uliopo unatoa mwanya wa kiongozi muovu kulindwa.
ashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.

Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka asubuhi anaamrisha watu watekwe,wapigwe na kuweka curfew?

Je hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.
 
Je hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.
Mtawala yeyote lazima awe dhalimu mkuu. Kwani Mwendazake hakuwa dhalimu, muuaji na mnyonya damu au unataka tu kujitoa ufahamu kwa makusudi?????
 
Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara.

Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka asubuhi anaamrisha watu watekwe,wapigwe na kuweka curfew?

Je hii hii nchi haitawaliwi kwa misingi ya katiba ya JMT? Tuache kuwapaka matope watawala wetu.

Hayo majina hawapewi wanajipa wenyewe kwa matendo yao
 
Back
Top Bottom