Hukumu ya Sabaya inawasha taa nyekundu kwa Kesi ya Mbowe

William Mshumbusi

JF-Expert Member
Mar 27, 2012
1,657
2,252
Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania.

Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu.
1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg.
2. NI ishara ya vyombo vya Dola kuweza kutenda haki hivyo ajipange Sana kutoa ushahidi unaoeleweka na kutoamini ktk siasa kwenye kesi hizi.
3. Inaweza ikaupa nguvu ushaidi wa Mbowe na uhalali wa kuajili makomando ili ajihami na genge la sabaya linalosemekana lilishawahi kuivamia hoteli yake na yeye akiwepo na kwa ushaidi wa CCTV.

Ngoja tuone Ila Lazma Mbowe ajipange hukumu ya sabaya NI taa nyekundu kwake
 
Acha ujinga,
 
... unajua ikoje? Iko hivi, ugaidi wa Mbowe ni kutaka kuwadhuru "viongozi" wa serkali; na kiongozi wa serikali anayetajwa kutaka kudhuriwa na "gaidi" Mbowe ni Ole Sabaya ambaye mahakama leo imeuthibitishia ulimwengu kwamba ni JAMBAZI LILILOKUBUHU na limekatiwa miaka 30 jela!

Sasa najiuliza, ugaidi wa Mbowe ulikuwa kulifanyia ugaidi jambazi tena jambazi lililotumia zana za moto? Jambazi lililojificha kwenye mwamvuli wa ukuu wa wilaya aka DC? Mbowe sio gaidi!
 
Taa nyekundu kwakuwa mahakama inatoa hukumu ili kubalance uwanja wa siasa? Hadi sasa ushahidi unavyoendelea kwenye kesi ya Mbowe inaonyesha siasa chafu zilivyokuwa chini ya Magufuli na genge lake la kina Sabaya, Makonda nk.
eli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania.

Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu.
1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg.
2. NI ishara ya vyombo vya Dola kuweza kutenda haki hivyo ajipange Sana kutoa ushahidi unaoeleweka na kutoamini ktk siasa kwenye kesi hizi.
3. Inaweza ikaupa nguvu ushaidi wa Mbowe na uhalali wa kuajili makomando ili ajihami na genge la sabaya linalosemekana lilishawahi kuivamia hoteli yake na yeye akiwepo na kwa ushaidi wa CCTV.

Ngoja tuone Ila Lazma Mbowe ajipange hukumu ya sabaya NI taa nyekundu kwake
 
Kesi ya Mbowe haifiki December atakuwa huru.
CCM haina ubavu wa kumfunga Mbowe zaidi ya kumsumbua tu.
Anayesema Mbowe atafungwa maisha anaota,Mbowe anatuhumiwa kwa kula njama za kutenga ugaidi na siyo kwa kutenda ugaidi.Atafungwa maisha kwa kosa la kula njama?
Kwa kitu ambacho hakijatendeka?
Samia na kupelekeshwa kote na Sukuma gang hawezi fanya kosa la kumfunga Mbowe.
 
Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania.

Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu.
1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg.
2. NI ishara ya vyombo vya Dola kuweza kutenda haki hivyo ajipange Sana kutoa ushahidi unaoeleweka na kutoamini ktk siasa kwenye kesi hizi.
3. Inaweza ikaupa nguvu ushaidi wa Mbowe na uhalali wa kuajili makomando ili ajihami na genge la sabaya linalosemekana lilishawahi kuivamia hoteli yake na yeye akiwepo na kwa ushaidi wa CCTV.

Ngoja tuone Ila Lazma Mbowe ajipange hukumu ya sabaya NI taa nyekundu kwake
Na siku Mbowe akila mvua uje ushangilie hivyohivyo
 
Kwa hukumu hii ya Sabaya.... Mbowe naye haponi... Atakula mvua za kutosha...
 
Ukweli NI kuwa hukumu na kesi ya sabaya ilivyoendeshwa inaonesha uhalisia wa utolewaji haki Tanzania.

Ila hukumu ya sabaya inamaana kubwa Sana kwenye kesi ya Mbowe. NI taa nyekundu kwake kwasababu.
1. Wapo watakaolazmisha na Mbowe apatwe na hatia ili tu kujustify na kuwafariji sg.
2. NI ishara ya vyombo vya Dola kuweza kutenda haki hivyo ajipange Sana kutoa ushahidi unaoeleweka na kutoamini ktk siasa kwenye kesi hizi.
3. Inaweza ikaupa nguvu ushaidi wa Mbowe na uhalali wa kuajili makomando ili ajihami na genge la sabaya linalosemekana lilishawahi kuivamia hoteli yake na yeye akiwepo na kwa ushaidi wa CCTV.

Ngoja tuone Ila Lazma Mbowe ajipange hukumu ya sabaya NI taa nyekundu kwake
Sabaya amehukumiwa kwa ushahidi mwanana usio na chembe ya shaka
 
Back
Top Bottom