Tumeambiwa Chato itatangazwa kuwa mkoa ili kumuenzi Magufuli Mara tu vigezo vitakapokamilika.
Lkn hebu tujiulize , rais Magufuli anaenziwa kwa maana halisi ya kuenziwa?
1. Banda la kaburi lake...
Katika mawasiliano, hasa ya simu herufi 'G" huwakilisha matumizi ya kizazi kipya. Mathalani, 5G na 4G tumeshuhudia zikitumika kama kiwango cha tano na nne cha usasa wa matumizi ya teknolojia...
Mwanzoni wakati Rais Samia anapokea madaraka makundi mengi yalionekana kumuunga mkono wakiwemo CHADEMA
Bahati mbaya sana baadhi yetu tulitaka mabadiliko ya ghafla kwenye kila kitu kana kwamba...
RAIS #SAMIA ANAMUENZI BABA WA TAIFA MWALIMU JULIUS #KAMBARAGE #NYERERE KWA VITENDO ...................NA SIO POROJO MITANDAONI
Watanzania wenzangu, Pamoja na kuwa Rais #Samia Suluhu Hassan...
Nawasalimuni wanangu hapa jamvini. Nisiwachoshe. Napenda kuwapa changamoto na chemsha bongo kwa kutumia hypothesis kama namna ya kutoa mawazo yenu kwa rais wenu. Je kama mtanzania, ungejaliwa...
Raisi Samia akisema kuwa katatua Kero 11 za muungano zilizokuwa zinasumbua. Hakuzitaja zote 11 na hakueleza kilichokuwa kinasumbua hizo Kero hasa ni Nini kwa undani na kilichotatuluwa hasa ni Nini...
Kabla ya CV niombe kufahamu tume ya uchaguzi ina ofisi yake tofauti na jengo walilojengewa juzi kabla ya uchaguzi 2020?
Lakini pia ningepata CV yao tuone wajumbe wake Wana uzoefu gani tofauti na...
Nawasalaam ndugu zangu wapendwa natumai wote ni wazima wa afya.
Moja kwa moja nianze na maandishi yangu meusi yaliyo katika karatasi nyeupe na haishangazi sana mana ni utaratibu na uandishi...
Rais wa jamhuri ya Muungano Tanzania ,Samia Suluhu Hasani anatarajiwa kuanza ziara ya siku mbili katika Mkoa wa Arusha kuanzia oktoba 16 mwaka huu.
Akiongea na vyombo vya habari ofisini kwake...
KUTEKWA KWA KIBANDA
Kibanda ni Nani? Mwanahabari, Mnyakyusa, na Mkristo
NIANZE kwa kuomboleza msiba wa jicho moja la Absalom Kibanda. Jicho hilo lilijeruhiwa na watu wabaya usiku...
Nimemuona ITV leo saa mbili usiku kwenye taarifa ya habari akiwaambia madereva wa malori husika kuwa Rais Samia ameingilia kati na kuruhusu malori hayo sasa yaingie Tanzania! Mpigieni makofi Rais...
Nimefurahishwa sana na viongozi hawa kujitokeza na kuwa wawazi kwa yale yaliyojiri katika awamu ya iliyopita
Ni ukweli japo mchungu kwa baadhi yetu
Sisi kama Taifa kuna mahali tulikua tunaelekea...
Ni wazi umaarufu wake kwa sasa umeporomoka kwa kiwango kikubwa sana. Laiti uchaguzi ungekuwa ni leo kisha akasimamishwa yeye na mzee wa ubwawa ni dhahiri shahiri mzee wa ubwabwa angeondoka na...
Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Lazaro Nyalandu yuko wilayani Chato mkoani Geita akishiriki mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt. John Magufuli.
Nyalandu ameonekana muda mwingi akiwa na mbunge wa...
Heshima zinazotolewa kwa viongozi wakuu wa Taifa letu waliotangulia mbele ya haki zinataka kutujengea taswira kwamba flani ni muhimu kuliko flani Jambo ambalo hatukuliona walipokuwa hai. Namna...
Nilisikiliza Hotuba yake ya kufungua Bunge aisema kwamba pamoja na mambo mengine Serikali yake itaondoa matumizi ya magari ya kifahari maarufu kama, mashangingi", sasa hii ni kwamba ametangaza...
Tuliambiwa kwamba ili umkamate/ umteke komandoo mmoja wa Jeshi patahitajikawanajeshi zaidi ya 100 waliopata mafunzo stahiki
Sijajua hawa makomandoo wa Mbowe walikamatajwe au zile za zamani...
Nimeambiwa Rais Uhuru yupo DC na ataongea na Biden kama Rais wa kwanza Africa kufika while House kwa official visit na zaidi wataongelea mambo ya demokrasia Africa.
Nimejuliza sisi tunakwama...
Wakati vijana tunajitahidi kupambana na umasikini serikali nayo inazidi kupambana vijana tusitoke kwenye umasikini,
Mimi ninataka kufungua blog ya kuwa natangaza mambo mengi ya urembo utanashati...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.