Our drivers toward the vision of Digital Tanzania since 1961: From the Late Julius Kambarage Nyerere, through the late John Pombe Magufuli to President Samia Suluhu Hassan
Abstract
Today, we...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makala amesema kuanzia sasa ofisi zote za Serikali za mitaa zitalindwa na askari mgambo watakaolipwa mshahara na serikali hizo za mtaa ili kuwalinda watendaji...
Wakuu,
Sijui kama kuna kitu sijaelewa ila naona kama taifa ni kama tumechanganyikiwa hivi au niseme tumepoteza muelekeo au ufahamu fulani.
Siku inapotengwa kitaifa kumuenzi mtu fulani maana yake...
Mwaka ule 2014, serikali ya Rais Jakaya Kikwete ilipoamua kuanzisha mchakato wa katiba mpya, hayakuwa matakwa ya Kikwete wala CCM, bali ulikuwa ni msukumo wenye nguvu toka kwa wananchi. Kwa sababu...
MJUMBE WA KAMATI KUU YA CCM ATUA IGUNGA, AONGEA NA WANACHAMA NA KUKAGUA UJENZI WA WODI YA MAMA NA MTOTO
"Katibu wa CHADEMA Jimbo la Igunga, aunga mkono juhudu za Mama Samia na kuhamia CCM"...
Raisi Samia, utafanya yote, ila kama unataka kuacha jina, basi fanya kila uwezalo kuhakikisha eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa kisasa mkoani Dodoma ujenzi huo unaanza na...
Mama ni Waziri aliye na tabia ya kupenda Kukurupuka na Kuanzisha au Kuzinunua Timu, anawekeza huko na akishazitumia kwa Maslahi yake huja Kuzitelekeza mbele ya Safari kisha anabakia na Timu yake...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku mbili mkoani Kilimanjaro, ambapo atazindua miradi, kuweka mawe ya msingi na kuzungumza na wananchi katika mkutano...
Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa,
" Chato tunasema Asante "...
Takwimu hii ya kusikitisha imejulikana leo baada ya Mkuu wa Mkoa wa Simiyu , David Kafulila kutembelea kijiji hicho , ambapo wanakijiji hao wamuomba RC kuwaanzishia madarasa ya elimu ya watu...
MIAKA KUMI NA MITANO TANZANIA BILA MWALIMU, HAKUNA UZALENDO, MAADILI, UADILIFU WALA UWAJIBIKAZI
Leo OCTOBAR 14, Mwaka 2014 Watanzania tunatimiza miaka kumi na mitano bila uwepo...
UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI KATIKA MAKAMPUNI YA SIMU – JIPU?
Kwa kitambo sasa kumekuwa na wimbi kubwa la upunguzaji wa wafanyakazi katika makampuni ya simu hapa nchini Tanzania. Wimbi hili limeonekana...
Ilikuwa kama utani vile mwaka wa kwanza toka aondoke Nyerere tukadhani 2000 lazima Chadema waingie ikulu lakini wapi.
2005 wakaja na helikoptaa lakini mipango ikagoma, 2010 ngoma ikakataa, 2015...
Mwalimu Nyerere Angekuwa hai Leo ninaamini pengine kwa huu utawala uliopo angekuwa ama Gerezani au Ameuawa kabisa kwa risasi au sumu. Kwa sababu katika vitu ambavyo huyu baba yetu alivipigania ktk...
Kama ulivyokuwa na busara na utaratibu, upole na busara ulipokuwa huna kishikio, na sasa baada ya kupata kishikio usibadilike ukataka hata kuelekeza makali kukata walioshika upande wa makali...
Ilikuwa Tarehe 13/4/2021 Lissu alikutana na Joseph na kuomba Connection ya Kuongea na Katibu mkuu apate kuwasiliana na Rais kwakuwa kulikuwa na nia ya Samia kuongea na Vyama vya Upinzani, na bado...
Tumeambiwa Chato itatangazwa kuwa mkoa ili kumuenzi Magufuli Mara tu vigezo vitakapokamilika.
Lkn hebu tujiulize , rais Magufuli anaenziwa kwa maana halisi ya kuenziwa?
1. Banda la kaburi lake...
Katika mawasiliano, hasa ya simu herufi 'G" huwakilisha matumizi ya kizazi kipya. Mathalani, 5G na 4G tumeshuhudia zikitumika kama kiwango cha tano na nne cha usasa wa matumizi ya teknolojia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.