Ummy Mwalimu: Sitakubali mimi nitumbuliwe wakati wao(Wakurugenzi) wapo na wanachezea fedha za wananchi

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,444
7,804
Waziri Ummy Mwalimu: Kwa sababu Mhe.Rais ananipima kwenye ukusanyaji wa mapato na matumizi ya fedha za mapato ya ndani, na mimi Mhe. Rais nimewaambia (Wakurugenzi) nitawabana, sitakubali mimi nitumbuliwe wakati wao wapo na wanachezea fedha za wananchi".Waziri Ummy Mwalimu

=> Wakurugenzi wote bado mpo kwenye uangalizi (probation) ya miezi sita hivyo mkafanye kazi kwa bidii kwenye utendaji wenu wa kazi na si wasifu uliotumika kuwateua na baada ya miezi sita nitapeleka taarifa ya utendaji wenu wa kazi kwa Rais Samia Suluhu Hassan
 
Jamaa mmoja anasema ni bora tupanue bandari ya tanga kuliko kuendelea na hii ya bagamoyo,
Je mumemsikia hukoooo au aongeze sautiii
 
Back
Top Bottom