Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Ndg. Samia Suluhu Hassan akishiriki katika kilele cha mbio maalum za mwenge wa uhuru na kumbukizi ya miaka 22 ya kifo cha Baba wa Taifa...
1 Reactions
38 Replies
5K Views
Asalam! Nianze kwa kuipongeza Serikali chini ya Rais Mama Samia kwa kuipa Elimu kipaumbele hasa eneo la miundo mbinu. Hili limekuwa likisumbua kila mwaka. Tunashukuru kwa kazi hii njema. Pili...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni takribani miezi 6 tu imepita viongozi walikuwa Chato kuweka mashada kwenye kaburi la Magufuli mashada mengine yangalipo na hayajakauka, ni sababu zipi zimefanya tena leo kuweka mashada kwenye...
8 Reactions
60 Replies
7K Views
Chama Tawala Tanzania: Kiongozi wa serikali atakayeshirikiana na mashirika ya kimataifa nchini atapoteza kazi Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Dk Bashiru Ally amewaonya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya wapinzani walikuwa wakiisema sana CCM na sasa ghafla baada ya kuzidiana spidi kwenye maslahi wameomba kujiunga CCM na wanawananga wapinzani kuliko wafanyavyo wanaccm original...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Chadema wameanza tabia yao ilee ambayo ilishamiri sana miaka ya 2017/18 ya kutengeneza matatizo wenyewe halafu wanashangaa!!! walikuwa wanatengezeza matukio kama vile kupanga na kuamua kuchoma...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Wanabodi, Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia...
5 Reactions
14 Replies
2K Views
Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA (bara) amesema chama chake kiko tayari kukutana na Rais Samia ili kupata maridhiano ya kitaifa. Lakini hatuko tayari kukutana na msajili wa vyama vya siasa hadi pale...
11 Reactions
209 Replies
11K Views
Hii ni aibu kubwa sana kwa serikali. Hivi mmeshindwa kujenga kibanda chenye Hadhi kulizunguka kaburi la Magufuli? Kwakweli japo sikufurahishwa na matendo mengi ya Marehemu magufuli lakini...
19 Reactions
408 Replies
48K Views
Kiukweli udhaifu wa CHADEMA ulianzia pale Balozi Wilbroad Slaa alipoamua kuachana na siasa za majukwaani. Baadae Patrobas Katambi akaidhoofisha Bavicha kwa kuhamia chama dume CCM. Halima James...
4 Reactions
52 Replies
4K Views
Habari watanzania, watanzania wapenda amani. Leo Jtatu nimeona nisiwache wanyonge hivi ni bora nitie neno kidogo kwenye hili Sakata la Mbowe sambamba na Sabaya. Maneno yapo mengi ya kusema lakini...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Jambo hili la kusikitisha limefanyika usiku wa kuamkia leo, ambapo watu wasiofahamika wamelipua ofisi hiyo na kisha kutokomea kusikofahamika, nyaraka kadhaa za Chama hicho zimeteketea na nyingine...
12 Reactions
92 Replies
7K Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inamka kwamba, Tanzania ni nchi ya mfumo wa vyama vingi, rais atachaguliwa kutoka kwenye chama cha siasa, hii inamaana kuwa ni lazima awe mwanachama wa...
4 Reactions
75 Replies
6K Views
Hakika nimepata faraja sana kwa Mh Rais Samia kwa kuweka taji la heshima katika kaburi la Hayati Dr John Pombe Magufuli katika siku hii muhimu ya kitaifa ambayo inamkumbuka muasisi wa Taifa. Rais...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Nasikia serikali imepata fedha kutoka Imf kwa ajili ya ujenzi wa majengo madarasa ni vizuri lakini kwa mkoa wa Songwe najua wanafunzi wanaitaji kujiunga kidato cha kwanza mwakani ni wa chache...
0 Reactions
3 Replies
670 Views
Tatizo la Corona wa kulaumiwa ni serikali kwa asilimia 100% nitawalaani mpaka kaburini Nina sababu ya kusema serikali ndo ya kulaumiwa kwa sababu zifuatazo KWANZA kabisa kipindi mwezi wa pili na...
68 Reactions
167 Replies
17K Views
Nenda kwenye nchi yoyote ya kidikteta halafu wasimulie kwamba vijana wa upinzani waliingia lilipo kaburi la hayati mwenyekiti wa chama tawala na wakacheza bao na kunywa maziwa, maandazi na samosa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Ninafuatilia maisha ya mama mmoja huko Arusha aliyekaa kwenye oxygeni kwa miezi miwili na familia kutakuwa kulipa zaidi ya milioni thelesini. Katika kipindi ambacho covid ni agenda ya Dunia napata...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mafisadi walianza muda mrefu Sana kuila tanesco record zinaonyesha TANESCO ilianza kuliwa toka mwaka 1994. Magufuli alipoingia akajaribu kuwaondoa mafisadi wote kuliteka shirika la TANESCO ingawa...
21 Reactions
70 Replies
5K Views
Kumbukizi ya Nyerere inaweza kuadhimishwa popote. Nyerere hakuwa Rais wa Kijiji cha Butiama...Kuna vya kulalamika..hili si mojawapo.
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom