Polisi waanza kuwasaka waliolipua ofisi za CHADEMA Jimbo la Tunduma

nawashauri vyombo vya ulinzi waanze kuwachunguza viongozi na wafuasi wa chadema kwanza, maana hao jamaa wana rekodi mbaya za kupanga matukio wao wenyewe kwa lengo la kuhadaa umma eti ionekane kuwa wanahujumiwa!!
kuna mifano mingi sana ambayo wamewahi kuipanga kwa malengo hayohayo.
lkn pia rekodi ya mwenyekiti wao n.k.
hawaaminiki kabisa hawa watu.
 
Huo hauendi popote hapo ndio Kila kitu kimemalizikiamo.
Na ikendelea utasikia Chadema walichoma wenyewe.
Kama issue ya Arusha. Ofisi ilichomwa na jamaa wapendwa wanao bebwa na polisi lakini ripoti ikatoka kwamba Chadema walichoma ofisi yao.
Sabaya anajua huu mchongo.
 
[/QU
Hiyo ndio Tanzania yetu ya leo.
 
Back
Top Bottom