The golden
JF-Expert Member
- Sep 11, 2018
- 1,381
- 2,553
Jana nilipotea njia nikajikuta nimengia chumba kimoja cha Club house.
Nikasikia sauti ya Lisu, nikasema acha nitulie kidogo nisikie kinachosemwa.
Mjadala ulihusu legacy ya JK. Nyerere, kusema kweli niliyosakia kule sijawahi kuyasikia wala kuyasoma mahali popote. Huyu TL anajua kila kitu, hakuna swali linalomshinda kujibu. Anaeleza historia ya nchi mpaka unabaki mdomo wazi.
Hapana huyu mtu amenishangaza sana.