Pendekezo: Umri wa vijana kule UVCCM, Bavicha na Ngome ya Vijana ACT uwe ni miaka 15 hadi 30

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,518
2,000
Najua UVCCM ukomo wa umri wa kijana na miaka 35, huu ni umri mkubwa sana yaani mdada anaweza kuwa na mjukuu lakini yuko UVCCM.

Niombe tu Bavicha, UVCCM na Ngome ya vijana ACT wazalendo wazingatie umri wa kijana ni miaka 15 hadi 30.

Ole sabaya kwa mfano siyo kijana.

Jumaa kareem!
 
Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
15,379

Leo ni siku ya hukumu ya Kamanda wako,najua unaumia roho sana.

Hii tabia ya Lumumba kuwakana makamanda wao wanapokuwa kwenye matatizo tafadhali ikome.

Kamanda Hamza mlimkana hata maziko yake uwakilishi ulikuwa mwenbamba sana.Hadhi ya Hamza Mwenyekiti,Katibu Mkuu Taifa walistahili kushiriki.Kama walikuwa busy hata Mwenezi Taifa Bwana Shaka angewemo.
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
51,822

Ujana iwe ni miaka 18-25 basi, kuanzia hapo ni mtu mzima
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
51,822
2,000
Leo ni siku ya hukumu ya Kamanda wako,najua unaumia roho sana.

Hii tabia ya Lumumba kuwakana makamanda wao wanapokuwa kwenye matatizo tafadhali ikome.

Kamanda Hamza mlimkana hata maziko yake uwakilishi ulikuwa mwenbamba sana.Hadhi ya Hamza Mwenyekiti,Katibu Mkuu Taifa walistahili kushiriki.Kama walikuwa busy hata Mwenezi Taifa Bwana Shaka angewemo.
CCM hawana rafiki wa kudumu mzee
 
Farolito

JF-Expert Member
Sep 10, 2018
7,512
2,000
Tufanye tafakuri hapa
JamiiForums-2019525786.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom