Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Deodatus Balile Imenichukua muda kuandika makala hii. Ninafahamu kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, anashitakiwa kwa tuhuma za kufadhili ugaidi kwa...
92 Reactions
110 Replies
12K Views
Wakuu, Ni kuhusu huyu wanayemwita wakili msomi.. Yaani Peter Kibatala. Kila siku nasikia Kibatala, Kibatala. Tujuzane wakuu. CV yake Kashinda kesi ngapi? Kashindwa kesi ngapi? Tujuzane tumjue...
4 Reactions
119 Replies
58K Views
Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza...
9 Reactions
17 Replies
2K Views
Mama Anne Makinda, Nimeona leo mahali unasema vyombo vya habari vimuache Pius Msekwa kwani kalitumikia taifa kwa muda mrefu na sasa ni mstaafu. Mama Makinda, Pius Msekwa hajastaafu kutumia haki...
185 Reactions
174 Replies
23K Views
"Wenzetu wa CHADEMA wamekuwa wakitoa kauli za kuitaka mahakama kumuachia kiongozi wao, tunapenda kuwaambia kuwa mahakama haingiliwi,waiache ifanye kazi yake ya utoaji wa haki kama kiongozi huyo...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kabla ya vyama sisi sote ni watanzania. Moja ya imani za CCM ni kuwa binadamu wote ni ndugu zangu na Afrika ni moja. Tumefikaje huku kwenye kuuwana, kutekana, kutesana, kupotezana...
9 Reactions
41 Replies
4K Views
Mbunge wa Chalinze Mhe Ridhiwani Kikwete Aishukuru Serikali ya Awamu ya 6 Kwa Kumwaga Mabilioni Halmashauri ya Chalinze Mgawanyo wa fedha toka IMF Tshs. Trilioni 1.3. Halmashauri ya Chalinze...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hali ndio kama mnavyoiona, kundi la akina mama limeomba kusajiliwa kidigital huko Shinyanga Mjini. Uchunguzi wa awali unaonyesha kwamba kesi ya uongo ya Ugaidi inayayomkabili Mwenyekiti wa...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Dodoma.Tanzania imeweka mkakati wa kuchanja watu 100,000 kila siku katika kukabiliana maambukizi ya Uviko -19. Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Profesa Abel...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari JF Wiki kadhaa zilizopita Serikali ilianzisha kampeni ya kuhakikisha maeneo yetu yanarejea katika hali nzuri kwa kuhakikisha kuwa wafanyabiashara maarufu kama wamachinga wanawekewa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
January Makamba kwa mtazamo wangu namuona ni mtu ambaye yupo smart sana kichwani, ana busara, mtulivu, si mpenda sifa bali ni mchapa kazi, si mtu wa media sana na hakurupuki kataka maamuzi yake...
5 Reactions
194 Replies
11K Views
Samia akumbushwe kuwa mwaka 1997 aliyekuwa Rais wa Zambia Keneth Kaunda ambaye alihisi Chama chake kitatawala milele na kuwanyanyasa wapinzani wake alikamatwa na kuwekwa gerezani huko Zambia...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Msomi Nguli Mwalimu Lwaitama amefunguka yenye kujenga, kwake Mheshimiwa Rais: Yawezekana kuganga yajayo kwani yaliyopita si ndwele. Hoja ya Mwalimu Lwaitama ina mashiko. Hoja ya Mwalimu...
6 Reactions
154 Replies
9K Views
Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini Taarifa hiyo...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama Mbowe angekuwa nje huo Moto wa Katiba Ungekuwa mkubwa sana na sijui nani angeuzima. Mbowe ndie kiongozi pekee anayeweza kuubeba upinzani. Kwanza anabusara, Anaweza kuvumilia wanachama wake...
10 Reactions
33 Replies
3K Views
“Mhe. Rais Watuhumiwa wa Ugaidi tunanyimwa Haki. Ukonga, Segerea tupo 187. Tumewekwa jela toka 2013. Mhe. jela miaka 8 ni kuadhibiwa bila ya kuthibitika kosa. Wewe kama mkuu wa nchi tunaomba...
11 Reactions
49 Replies
4K Views
Nisaidieni kumuuliza Rais Samia atuambie zile Solar tony blair aliahidi atagawa kwa shule zote za sekondari za vijijini imeishia wapi? Aliahidi toka mwaka 2013 hadi leo hatujaona kitu Pia...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Ikumbukwe kuwa wakati wa utawala wake alijaribu sana kucheza na akili za watu, hasa akitumbukiza neno la Watanzania wanyonge. Ni yeye huyu huyu alitoa amri kuwa wamachinga watafutiwe maeneo...
6 Reactions
59 Replies
4K Views
BARUA YA WAZI KWA RAIS JOHN POMBE MAGUFULI kwanini umejiandaa kumwaga damu za watanzania wasio na hatia? Na Mwinjilisti Kamara Kusupa: 0767 311422 Mheshimiwa Rais, naandika barua hii nikiamini...
67 Reactions
200 Replies
27K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…