Kwanini mwana-CHADEMA anapohamia CCM ni lazima aombe uteuzi hadharani? Kwani UVCCM haiandai viongozi tena?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
49,526
2,000
Naomba ufafanuzi kutoka kwa mwenezi wa CCM komredi Shaka ambaye ametokea UVCCM hivi pale Vijana hamuandai viongozi watarajiwa tena.

Maana safu za uongozi wanajazana machadema watupu vijana wetu wa UVCCM hatuwaoni kabisa.

Bananga anasema mkewe ni mnyamwezi hivyo anaomba apewe kazi CCM kana kwamba huko CCM hakuna wanyamwezi.

Tangu aondoke bwana mdogo Emmanuel Nchimbi UVCCM haisikiki kabisa, tatizo ni nini lakini?

Mungu ni mwema wakati wote.
 
Muuza viatu

JF-Expert Member
May 14, 2020
2,712

Hakuna asiyependa kutembelea vieite
 
Kingsmann

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,286
2,000
Hoja nyingi na zenye uzito kwa sasa zinaibuliwa na CDM/BAVICHA.

UVCCM wamebaki kuwa wazuiaji tuu wa hizi hoja, ila wao hawana jipya kabisa, na bahati mbaya hawazizuii kwa hoja bali kwa vitisho na kejeli(unaijua viieitee wewe?).

Viongozi wengi wa CDM kwa sasa wamewazidi thamani wale wa CCM, Mfano:

Mnyika vs Chogolo
Pambalu vs Shaka

Mwisho wa siku chuya lazima zijitenge na mchele.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,065
2,000
Kwa mifano ya akina Makonda,Sabaya,Mnyeti,Byakanwa,Hamza,Shaka,Kihongosi,Kingai etc. Nani ataendelea kuwaamini UVCCM? NI kikundi fulani cha kusifia,kulamba miguu,kutosha watu,kupokea maelekezo kutoka juu nk. Hawana hoja tena.
🤣🤣🤣kweli
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
43,659
2,000
Kimsingi Cdm ndio chama chenye mvuto kwa wananchi, hivyo ccm inaamini ikimchukua mtu toka Cdm atahama na nyota ya Cdm kukubalika. Ccm wamefanya yote hayo lakini bado hawapati mvuto, mbinu wanayotumia sasa ni kuhakikisha Cdm hawapati nafasi ya kufanya ushawishi kwa umma, maana wanajua watu wanavutiwa na cdm zaidi. Kwa sasa ukitaka cheo ccm, nenda Cdm kisha omba jukwaa ufanye siasa, ukirudi ccm lazima upate ulaji, na hata usipopata unakuwa kwenye quie kusubiri nafasi yoyote ikitokea unapewa.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,065
2,000
Naomba ufafanuzi kutoka kwa mwenezi wa CCM komredi Shaka ambaye ametokea UVCCM hivi pale Vijana hamuandai viongozi watarajiwa tena.

Maana safu za uongozi wanajazana machadema watupu vijana wetu wa UVCCM hatuwaoni kabisa.

Bananga anasema mkewe ni mnyamwezi hivyo anaomba apewe kazi CCM kana kwamba huko CCM hakuna wanyamwezi.

Tangu aondoke bwana mdogo Emmanuel Nchimbi UVCCM haisikiki kabisa, tatizo ni nini lakini?

Mungu ni mwema wakati wote.
UVCCM are so desperate. Wakitumwa kumua bosi wao ili wapate teuzi wako tayari kufanya hivyo.

Hao si watu wa kuwateua.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
20,065
2,000
Kimsingi Cdm ndio chama chenye mvuto kwa wananchi, hivyo ccm inaamini ikimchukua mtu toka Cdm atahama na nyota ya Cdm kukubalika. Ccm wamefanya yote hayo lakini bado hawapati mvuto, mbinu wanayotumia sasa ni kuhakikisha Cdm hawapati nafasi ya kufanya ushawishi kwa umma, maana wanajua watu wanavutiwa na cdm zaidi. Kwa sasa ukitaka cheo ccm, nenda Cdm kisha omba jukwaa ufanye siasa, ukirudi ccm lazima upate ulaji, na hata usipopata unakuwa kwenye quie kusubiri nafasi yoyote ikitokea unapewa.
Umeusema ukweli wote
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,492
2,000
IMHO Komredi Ally Bananga Mwatiga amerejea nyumbani💪

Ninaukumbuka mtifuano wake wa kisiasa na Komredi Mrisho Gambo kipindi kile cha nyuma akiwa na makomredi wa CCM STAMINAZ akina Komredi James Ole Millya vijana kindakindaki wa Laigwanan El Comandante Edward Ngoyai Lowassa............

BTW UVCCM ina vijana wengi mahiri.....wako vijana wasioonekana mbele ila ni hazina ya TAIFA....

Binafsi ninashangazwa na ninasikitishwa sana na kauli ya kwamba eti wengi wetu ni "empty sets" kiasi kwamba vijana smart wako upinzani tu ....hili si kweli hata kidogo.....si kweli kabisaaaa......

CCM ina vijana wengi wenye uwezo ,ari na nidhamu na labda MAKUNDI HASIMU YA KISIASA yalitengeneza taswira hasi ya kuonekana kuwa wengi wetu ni "magalasa" Jambo lisilo na ukweli hata chembe.........

SIEMPRE CCM

NCHI KWANZA
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,492
2,000
UVCCM are so desperate. Wakitumwa kumua bosi wao ili wapate teuzi wako tayari kufanya hivyo.

Hao si watu wa kuwateua.
Mkuu si kweli UVCCM wako wengi mno walio na uzalendo ,ari na maarifa makubwa......

IMHO umeamua tu kuikumbatia FALLACY.....
 
Kalunya

JF-Expert Member
Oct 5, 2021
1,793
2,000
Kimsingi Cdm ndio chama chenye mvuto kwa wananchi, hivyo ccm inaamini ikimchukua mtu toka Cdm atahama na nyota ya Cdm kukubalika. Ccm wamefanya yote hayo lakini bado hawapati mvuto, mbinu wanayotumia sasa ni kuhakikisha Cdm hawapati nafasi ya kufanya ushawishi kwa umma, maana wanajua watu wanavutiwa na cdm zaidi. Kwa sasa ukitaka cheo ccm, nenda Cdm kisha omba jukwaa ufanye siasa, ukirudi ccm lazima upate ulaji, na hata usipopata unakuwa kwenye quie kusubiri nafasi yoyote ikitokea unapewa.
Ni ccm ya jiwe sio ccm hii.
Hii unaunga juhudi bila pesa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom