Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziendi wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo Sinza madukani maduka yako wazi kuanzia asubuhi mpaka jioni hata wale wa kuulizia.
Hata yake maduka tuliozoea kuona yamejaa watu kama vunjabei na usiendekariakoo nao saa hizi siku nzima wanaingia watu wachache sana tofauti na tulivyozoea.
Nini shida?