Amani ya bwana iwe nanyi.
Inajulikana wazi kuwa katiba ya nchi yetu inampa uhuru mtu yoyote kuishi mahali popote na kuhamia chama chochote cha siasa anachoona kinafaa .
Hivi karibuni limeibuka...
Mwalimu wa Shule ya Msingi Itete kata ya Kirando Wilayani Nkasi, Clarence Mwanakurya (29) amekamatwa na Polisi kwa tuhuma za kumuoa Mwanafunzi wa kidato cha kwanza Jesca Mwanji (16) tangu mwaka...
Itoshe tu kusema Lord Mayor DSM Isaya Mwita kutokea CHADEMA iliyopo Ufipa st Kinondoni, Dar es salaam aliitendea haki nafasi yake na miongoni mwa mabadiliko chanya tuyaonayo sasa jijini yana...
Habari zada huu
Naomba moja kwa moja niende kwenye mada maana nina ushahidi pia licha ya kwamba kama upo wanajamvi mnaweza kuuweka
Katika pita pita yangu humu jf nilikutana na reply moja na ukuu...
Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mbunge wa jimbo LA Mtama Mh Nape Moses Nnauye,ameibua mjadala mitandaoni kwa hoja yake aliyoitoa bungeni hivi karibuni ya kutaka...
Rais wa Burundi amemaliza ziara yake ya siku 3 nchini na kurejea nyumbani kwao akitumia ndege ya serikali ya Tanzania.
Ifike mahali wote tukubaliane kuwa Tanzania ina msaada mkubwa sana kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla amesema zoezi la kuwapanga vizuri Wamachinga katika Jiji la Dar es Salaam limeenda salama pasipo usumbufu wowote na kusema kwa sasa ameagiza maeneo...
Katiba yetu ya JMT pamoja na kupitwa na wakati inawatambua Watanzana kwamba ndiyo wenye nchi. Kwamba mamlaka zote katika nchi wenye kuziweka ni Watanzania. Sasa uhalisia wa hili na ubora wa...
Nimeshangaa kauli ya mkuu wa mkoa wa Dar, akisema wamachinga wakirudi maeneo ya kati, basi atakuwa hafai.
Mkuu wa mkoa wa Dar amesahau kuwa hili ni kundi la wavuja jasho ambao wanamikopo...
Huyu kwa sasa (Nov 19, 2016) ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) aliyejaza nafasi iliyoachwa wazi na Luteni Jenerali(mstaafu) Samuel Albert Ndomba.
Natamani kujua historia yake...
Anaandika: Mohamed Ismail Rwabukoba
Mbona hasemi, mbona haongei au wanataka tuamini huo nao ni ukorofi? La hasha huo siyo ukorofi bali samaki ana mengi ya kuzungumza ila akifungua kinywa chake...
Wakati fulani JPM alisema japo tuna mihimili mitatu upo muhimili uliojichimbia zaidi watu wakamlalamikia sana ila shida ni Mathematics na Chemistry hizi huwa hazina matokeo ya kughushi na kubalika...
Awali ya yote pokeeni pongezi za dhati kwa kazi takatifu mnayoifanya ya kuisaka haki katika mazingira magumu.
Kazi yenu ni ngumu zaidi hasa ikizingatiwa kuwa mafanikio yoyote yanayopatikana...
MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI
BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA
MALUMBANO YA HOJA
KATIKA TELEVISION YA...
Mwezi uliopita iliundwa timu kwa ajili ya majadaliano na wachina kuhusu kujenga Bandari ya Bagamoyo. Ukweli mchungu ni kuwa Wachina watajenga bandari. Itakua na manufaa au haitakua na manufaa, hii...
Kipande Cha Daraja la Nyerere ukitokea Kigamboni Mpaka Ubungo usiku ni shida na tatizo kubwa kwenye msongamano wa magari. Na hakuna jitihada yoyote ya kidharura kuondoa tatizo.
Kipande Cha...
Polepole na Musukuma ni watu wanaopingana na Rais Mama Samia kwenye kila kitu. Wanabweka kwenye mitandao kupinga maamuzi ya Rais.
Walipinga chanjoweeeeee lakini mwishowe nadhani na wawo...
My Take:
Niseme tuu wazi bila kinyongo bali kiroho safi kuwa tumempata Rais ambaye anania njema kabisa ya kulipandisha hadhi Taifa letu katka nyanja mbali mbali ikiwemo maswala ya "INFRUSTUCTURE"...
DC JOKATE: AKAGUA MIUNDOMBINU YA MASOKO WILAYANI TEMEKE
Mkuu wa Wilaya ya Temeke
Mhe. Jokate Mwegelo amefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu katika maeneo ya masoko waliyohamishiwa...
Wakuu salaam,
Wengi tulichukizwa na utawala wa magufuli ajili ya kuminya demokrasia na kutozingatia utawala wa sheria, bt kwa kiasi fulani tuliridhika na walivyodhibitiwa mafisadi.
ajabu awamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.