Tanzania yaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,917
2,000
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.

My take.
Hili ni Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani.
Nawahakikishia bila kuongeza ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.

RIP Magufuli .
muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.

Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV
 
Ng'wanamangilingili

JF-Expert Member
Aug 22, 2015
3,696
2,000
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.

My take.
Hili ji Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani,bila ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.

RIP Magufuli .muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.

Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV
Sasa unataka aongoze nani wakati inaongoza pia kwa vivutio. No sawa na kusema The Holstein Friesian aongoza katika uzalishaji wa maziwa katika kundi la ng'ombe maksai

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
balimar

JF-Expert Member
Sep 18, 2015
6,278
2,000
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.

My take.
Hili ji Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani,bila ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.

RIP Magufuli .muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.

Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV
Uwe unatumia akili hata kidogo tu
Eti uhoji mapenzi ya Mungu
Akili za kuvukia barabara hizi
Kweli kichwa chenye upara usio na chochote ni sawa na kalio tu!!!
 
Katwangilo

JF-Expert Member
Jun 10, 2021
709
1,000
Dola bilioni 2.6 ni saws na trillion karibia sita za Kitanzania.. Hizi za toka lini mpaka lini?
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,917
2,000
Uwe unatumia akili hata kidogo tu
Eti uhoji mapenzi ya Mungu
Akili za kuvukia barabara hizi
Kweli kichwa chenye upara usio na chochote ni sawa na kalio tu!!!
Shirika la TANESCO limeingia mkataba wa kusimika mfumo wa kisasa wa ufanisi,wenye thamani ya dola milioni 30 za marekani na kampuni ya Mahendra kutoka India.

Hao wataalamu walipopewa nafasi ya kuongea wanasema ni pamoja na utawala pamoja na kumonitor mfumo mzima wa Tanesco kutokea satellite.
 
faru john junior

JF-Expert Member
Dec 26, 2016
1,587
2,000
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.

My take.
Hili ji Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani,bila ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.

RIP Magufuli .muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.

Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV
Unauhakika hao watalii wanaokuja wanaletwa na ndege zetu?
 
Escrowseal1

JF-Expert Member
Dec 17, 2014
2,792
2,000
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.

My take.
Hili ji Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani,bila ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.

RIP Magufuli .muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.

Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV
Una habari Kenya wanazo ndege ngapi? Fanya research zaidi kuna sababu nyingine
 
samurai

JF-Expert Member
Oct 16, 2010
10,107
2,000
Inawezekana pia approach ya Covid imeleta manufaa kwa wazungu wengi wasiopenda kufungiwa fungiwa kuja kuishi huku kwa muda na kula Bata.....Kumbuka Kenya waliintroduce carfew hivyo night life ikawa ngumu pia..
 
Semahengere

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
777
1,000
Tanzania imeongoza kwenye mapato ya utalii kwa nchi zote za Afrika mashariki kwa dola billion 2.6 na kuiacha mbali Kenya yenye dola billion 1.7 ikiwa nafasi ya pili.

My take.
Hili ni Jibu kwa wanaoponda ununuzi wa ndege ,
Huwezi kuwa na vivutio vingi vya utalii halafu ili hao watalii wafike kwako lazima wabebwe na ndege za jirani.
Nawahakikishia bila kuongeza ndege kuongoza kwenye mapato tungekusikia kwenye bomba tu.

RIP Magufuli .
muda mwingine unaweza kuhoji mapenzi ya Mungu kwa nini aliruhusu uondoke mapema na usione na kula matunda ya jasho lako.

Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii Afrika Mashariki – Millard Ayo TV
Wewe umemkumbuka tu mpenzi wako Magufuli ila huna jipya
 
TADPOLE

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
1,678
2,000
Basi mtaanza kumsifiasifia Samia wakati ni miaka yote Tanzania inaongoza kwa mapato ya utalii hapa Africa Mashariki..na hii ni kwa sababu utalii unaofanyika Tz ni ule VIP tourism ambapo wageni wanalipa pesa zaidi ya wanayolipa wakiwa katika vivutio vya Kenya au hata Uganda
 
Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
4,917
2,000
Inawezekana pia approach ya Covid imeleta manufaa kwa wazungu wengi wasiopenda kufungiwa fungiwa kuja kuishi huku kwa muda na kula Bata.....Kumbuka Kenya waliintroduce carfew hivyo night life ikawa ngumu pia..
Umepatia kabisa mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom