Mafisadi rasmi kazini kauli mbiu ya MAMAGA

Mr. Sound

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
1,166
2,427
Wakuu salaam,

Wengi tulichukizwa na utawala wa magufuli ajili ya kuminya demokrasia na kutozingatia utawala wa sheria, bt kwa kiasi fulani tuliridhika na walivyodhibitiwa mafisadi.

ajabu awamu ya 6 mafisadi wamerudi kwa speed, na za ndani kabisa wana kauli mbiu ya MAKE MAFISADI GREAT AGAIN(MAMAGA) watakayoitumia kulitafuna taifa watakavyo, kama taifa tunapitia wakati mgumu sana na bahati mbaya hatujapata kiongozi wa kutuvusha.
 
mlimsema vibaya
 
Mtu wa ajabu kweli wewe ndugu yangu...
Umeamka tu usingizini na kejeli na kashfa kibao ambazo huwezi kuprove hata moja..
Ukiulizwa unasema mimi ni kipofu...
Anyway, keep on keeping on!
level ya ufahamu wako ni ndogo ndo maana hatuelewani, chakukusaidia angalia background za waliomzunguka rais kisha utizame wanavoact wasafi sasa nadhani utapata jibu.
 
Wakuu salaam,

Wengi tulichukizwa na utawala wa magufuli ajili ya kuminya demokrasia na kutozingatia utawala wa sheria, bt kwa kiasi fulani tuliridhika na walivyodhibitiwa mafisadi.

ajabu awamu ya 6 mafisadi wamerudi kwa speed, na za ndani kabisa wana kauli mbiu ya MAKE MAFISADI GREAT AGAIN(MAMAGA) watakayoitumia kulitafuna taifa watakavyo, kama taifa tunapitia wakati mgumu sana na bahati mbaya hatujapata kiongozi wa kutuvusha.
mafufulism ulikuw utawa wa hovyo san
 
Mimi nasubiri tu ile sheria ya kutochukua mafao yangu ya nssf iondelewe. Hakika Mama akifanya hivyo nitafanya campaign mwaka 2025 ukoo wangu wote kura ni Samia.
 
Wakuu salaam,

Wengi tulichukizwa na utawala wa magufuli ajili ya kuminya demokrasia na kutozingatia utawala wa sheria, bt kwa kiasi fulani tuliridhika na walivyodhibitiwa mafisadi.

ajabu awamu ya 6 mafisadi wamerudi kwa speed, na za ndani kabisa wana kauli mbiu ya MAKE MAFISADI GREAT AGAIN(MAMAGA) watakayoitumia kulitafuna taifa watakavyo, kama taifa tunapitia wakati mgumu sana na bahati mbaya hatujapata kiongozi wa kutuvusha.
Sukuma GANG toka afungwe Sabaya hamna Amani kabisa.. tulieni, hamtaki kukubali, HAMENI NCHI😄, hizi ni zama za Samia sio za maiti…💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽 na atake asitake inakuja😄😄😄
 
Back
Top Bottom