Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MISRI NI KETE MUHIMU KWENYE DIPLOMASIA YA UCHUMI TANZANIA Uhuru Na Umoja Ukitaka kwenda upesi nenda peke yako, lakini ukitaka kwenda mbali nenda na wenzako, msemo huu wa wahenga ndiyo unaoongoza...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Namshauri tu kulingana na utamaduni wa CCM inaeleweka wazi baada ya Rais Samia kumaliza muhula wake wa pili 2030 atakayepokea kijiti ni mgombea kutoka kwa Wagalatia. Hivyo namshauri January akate...
25 Reactions
185 Replies
14K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kesho tarehe 10 Novemba, 2021 anatarajiwa kuondoka nchini kuelekea Cairo nchini Misri kwa Ziara ya Kiserikali ya siku tatu. Ziara...
8 Reactions
155 Replies
15K Views
Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi. No nadra sana kumkuta...
16 Reactions
63 Replies
4K Views
Siku tutakapopata serikali moja ya Afrika, taifa moja liitwayo Afrika lenye umoja wa Afrophone, na si anglophone au francophone;.ndipo haya majimbo yaitwayo Tanzania, Ethiopia, Nigeria, Misri...
1 Reactions
14 Replies
874 Views
Nimejaribu kufikiria namna marais wetu wanavyoshughulikia mambo mbalimbali, kila mmoja kwa wakati na kwa namna yake ndipo napata kuelewa kwamba yule makonde alikuwa bonge la genius. Mkapa...
15 Reactions
57 Replies
4K Views
Dar es Salaam. The Court of Appeal said Vodacom Tanzania must pay the Tanzania Revenue Authority (TRA) Sh3 billion withholding tax on purchase of a computer software from Siemens...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naandika haya wakati vijana wamachinga wakianza kujenga mabanda yao upya pembezoni mwa barabara. Ni ukaidi kwa maelekezo ya Rais. Ni uvunjaji sheria uliopitiliza kwa watu kuonywa na kutolewa eneo...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mwaka 2025 Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitampeleka kwa wananchi mtu mmoja, Rais Samia Suluhu Hassan hivyo mawaziri watambue hilo. Majaliwa ametoa kauli hiyo leo...
11 Reactions
88 Replies
8K Views
Watu wenye Ulemavu waliobomolewa vibanda vyao vya biashara katika Mkoa wa Dar es Salaam, wamepiga kambi usiku kucha nje ya Ofisi za Shirika la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) Masaki wakiomba hifadhi...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Kama tunataka maendeleo lazima tuondoe utawala wa kindugu ndugu katika taifa letu. Haya Mambo hayakufanyika Nyerere akiwa Rais baada ya kufa tu ndio yalianza!! Kwani mnafikiri yeye alishindwa...
26 Reactions
46 Replies
5K Views
Wana Jf, Serikali kama kawaida ya kupendelea mafundi kama haijui, wale walio kijijini ndio wapiga kura aswa kuliko hawa wachuuzi wa mjini. Serikali ipo radhi kuona nchi inakabiliwa na ukame...
1 Reactions
2 Replies
818 Views
Siku zote Misri imekuwa ikidai kuwa ina haki na maji ya mto na nile na chanzo chake kuliko nchi nyingine yoyote ya ukanda wa mto nile. Misri imekuwa ikirejea mkataba wa kikoloni unaoipa Misri...
13 Reactions
34 Replies
4K Views
LIJUE BOMBA LA MAFUTA LA TANZANIA UGANDA. NA ELIUS NDABILA 0768239284 Hivi karibuni Rais wa Tanzania Mhe Mama Suluhu Hassan na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Mseveni waliongoza utiaji wa saini ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Leo yamefanyika Majadiliano kati ya Serikali ikiongozwa na Waziri Makamba na Makampuni ya Shell, Equinor, Pavillion, ExxonMobil na Ophir kuhusu mradi wa gesi (LNG) Lindi wa TZS trilioni 70 -...
14 Reactions
94 Replies
9K Views
Suala la Wamachinga. Kwa kipindi cha miezi kadhaa sasa kumekuwa na zoezi la kuwaondoa wamachinga katika maeneo wanayofanyia shughuli zao za kujitafutia kipato, katika kile ambacho Serikali...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Tangu lilipoanza zoezi la utolewaji wa vitambulisho vya Taifa mwaka 2012/13, ni wananchi 5,621,350 tu ndio waliopata vitambulisho vya Taifa sawa na asilimia 26 ya wananchi 21,692,122...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba Jeshi la Polisi hasa mitaani mje kusaidia maana vibaka wamerudi kwa wingi sana. Hii sio siasa ni reality kabisa na siandiki kwa mihemuko! Kuna kipindi tulianza kulala milango wazi lakini...
7 Reactions
43 Replies
3K Views
Hayati Magufuli aliamini kuwa yeye ana akili kuliko watanzania wote na ndio maana hata alipodanganywa kwa sifa za uongo Kama sio kumkebehi kuwa anajua idadi ya samaki wote kwenye mito, ziwani, na...
21 Reactions
174 Replies
9K Views
Pamoja na kwamba anatarajiwa kuvunja rekodi ya Jakaya Kikwete kwa kusafiri nje ya nchi muda si mrefu ujao , kinachoshtusha ni kwa wananchi kupuuza kabisa ziara hizo , hawajali wala hawahangaiki...
28 Reactions
95 Replies
5K Views
Back
Top Bottom