Kesi ya Mbowe: Tujipange zaidi kwenye kuuweka Uongo Peupe

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,820
35,827
Yaliyojiri mahakamani leo yanaacha maswali mengi yasiyoweza kuwa na majibu

Ni vipi athari za shauri kuangaliwa kwa upande wa mashtaka tu?

Ni vipi Jaji kuwa mshauri wa upande wa mashtaka?

Vipi maamuzi yanaegamia upande wa mashtaka tu?

Haupo uwezekano kuwa shitaka hili limeshaamriwa tayari?

Vipi wenzetu kuona taabu kuitwa waongo hali wao wanaita wengine magaidi?

Tulipo sasa na shauri ndani ya shauri, hili na la Adamoo ni lile lile. Wapi Siyani aliegemea kwenye hukumu yake kuna fahamika.

Shauri hili kumhusu Ling'wenya litumike vizuri kuweka mashinikizo yote yanayowezekana na bila ya kuwa na haraka.

Urio aletwe mahakamani, tulete mashahidi tokea RAU, Ling'wenya afanyiwe uchunguzi wa kitabibu, Zije nyaraka zote muhimu kutoka Moshi na Arusha.

Hawa kama ilivyokuwa kwenye revision ya sheria 2018, aumbuke mtu. Hata wao wakaweze kuona kama ni faulo basi hii wamezidisha.

Iddi Amini kama kocha wa timu za boxing Uganda alikuwa muwazi:

"Shindeni kwa KO kuepuka maamuzi ya kiupendeleo toka kwa marefu wabaguzi."
 
Nakuunga mkono, Jaji kageuka Wakili wa serikali. Anakubali hoja za utetezi ni sahihi ila anatupa pingamizi lililotokana na hoja sahihi?

Mambo ya kuangalia na kukazia yako mengi lakini niwakumbushe;

1.Kwanini mwandishi wa maelezo ya Onyo ni yuleyule Jumanne hakuna wengine? Rejea za uendeshaji bora wa mashtaka zinasemaje kuhusu hili?

2.Kila zinapoletwa documents zimekosewa vifungu vya sheria wakati ni documents za kisheria, Utetezi wakipinga Jaji anatupa mapingamizi eti ni Curable
 
Jumanne weledi wake uko wapi?

1. Katajwa kwenye mahakamani kwenye kesi za unyang'anyi za Sabaya kama muwezeshaji.
2. Husafiri kutokea Arumeru kwenda kuandikisha maelezo Dar.

Bila ya shaka ni jitu lisilojulikana.

Awe grilled messenger wa shetani huyu amcheue Moses Lijenje.
 
Hahaha...mnachekesha sana, acheni mahakama ifanye kazi yake, mnajitekenya na kucheka wenyewe, si mnasema anaonewa na hajafanya kosa lolote? kwa nini mnataka ashinde kwa technicalities za kisheria na si kwa sababu hajafanya kosa!!??

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Kwamba? "Hahaha...mnachekesha sana."Halafu?"mnajitekenya na kucheka wenyewe."

Sasa anaye cheka kwa kujitekenya ni nani hapo? Hivi huko Sumve kiswahili kingali shida kiasi hiki?

Hiiiiii bagosha!
 
Jaji kaamua kuwa mwalimu wa sheria, jana amewafundisha wabunge namna ya kutunga sheria.

Ile moment Mallya anamwambia jaji hawa jamaa ni waongo niliona kama nao uvumilivu umeanza kuwashinda, akaendelea kusema mnawatesa watuhumiwa siku zote wako jela kwa mambo ya uongo nikajua leo kazi ipo...

Ghafla jamhuri objection wakili anatumia lugha kali, Mallya akawajibu kwani neno uongo halipo kwenye kamusi yetu, jaji ooh japo ni kweli lipo, lakini basi tumia neno lingine laini laini, Mallya akamalizia msumari kwa jaji, kisheria we call "a spade a spade, not a big knife" nikajisemea kimoyo moyo ok.
 
Hii kesi hukumu yake iko wazi na imeshapangwa. Ila nachopenda iendelee ni kwakuwa inatufumbua macho ni kitu gani kinaendelea kwenye jeshi la mapolisi, serikalini na mahakamani...

Hakika nimejikuta naanza kuijua sheria bila kwenda darasa la sheria...
 
Nakuunga mkono, Jaji kageuka Wakili wa serikali. Anakubali hoja za utetezi ni sahihi ila anatupa pingamizi lililotokana na hoja sahihi?

Mambo ya kuangalia na kukazia yako mengi lakini niwakumbushe;

1.Kwanini mwandishi wa maelezo ya Onyo ni yuleyule Jumanne hakuna wengine? Rejea za uendeshaji bora wa mashtaka zinasemaje kuhusu hili?

2.Kila zinapoletwa documents zimekosewa vifungu vya sheria wakati ni documents za kisheria, Utetezi wakipinga Jaji anatupa mapingamizi eti ni Curable
Ndicho alichotumwa na waliomteua. Bunge lilibakwa tukanyamaza sasa wanamalizia huu mhimili kwishnei.
 
Jiwe atawatesa hadi kizazi chenu cha milioni, kudadeki!!!
Maskini! Hivi wadhani Azory Gwanda, Ben Saanane, Akwilina na wengineo wengi waliopotea ama kuuawa wadhani familia zao wanashangilia au wanalaani kila uchao? Je wadhani anayedhulumu nafsi anasameheka huko kuzimu??? Anayeua nafsi moja tu ni sawa na aliyeua dunia nzima... Yeyote anayedhulumu haki ya aliyedhulumiwa italipwa na Mungu sasa tujiulize "alitubu na kuomba msamaha kabla ya mauti?!"
Niishie hapo tu.
 
Huyu mwizi uliyekuwa mkila na kuuwa naye?

IMG_20211110_214057_377.jpg

Unasomeka vyema sana hapa:

Ndugu nape pokea mchanganuo wangu wa dola 9 billioni alizokula Magufuli
 
Maskini! Hivi wadhani Azory Gwanda, Ben Saanane, Akwilina na wengineo wengi waliopotea ama kuuawa wadhani familia zao wanashangilia au wanalaani kila uchao? Je wadhani anayedhulumu nafsi anasameheka huko kuzimu??? Anayeua nafsi moja tu ni sawa na aliyeua dunia nzima... Yeyote anayedhulumu haki ya aliyedhulumiwa italipwa na Mungu sasa tujiulize "alitubu na kuomba msamaha kabla ya mauti?!"
Niishie hapo tu.
Kwani Dogo, Jiwe anakuwewesesha ukiwa wapi?
 
Back
Top Bottom