Uchaguzi 2022 ndani ya CCM unapaswa kuonyesha nguvu ya chama na dola

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,166
2,000
Salaam!
Kuna post nyingi na kelele nyingi na kampeni nyingi za uongo kumhusu mama mitandaoni na mitaani!

Nyingi zinaendeshwa na wana CCM kindakindaki tena wengi wenye vyeo.
Unajaribu kujiuliza, kulikoni?

Kutoka kwenye, 'atake asitake tutamuongezea muda' mpaka kwenye kashfa na kejeli hizi chafu tena za uongo!!!
Jibu linakuja, 'Magufulism/ umagufuli'

Mwenda zake, nimseme kidogo japo sio kwa ubaya sanaaa maana kikwetu sio vizuri kumsema marehemu.

Mwendazake alitengeneza mapomondo ndani ya CCM... kama tu yale yanayozungukaga mtaani, 'tunauza sumu ya kunguni, utitiri, chawa, papasi, viroboto na vyombo vipo' ... Likimaliza linaanza tena... na tena ..na tena hadi betri iishe.

Watu waliazimisha akili zao, wakasifu na kuabudu na kishangilia bila kufikiri..

Sasa kibao kimegeuka kidogo, mama anataka watu wenye kufikiri na kuwajibika katika uongozi wake na hana mpango wa kusifiwa au kuabudiwa...yale mapomondo yameduwaa, hayajui yaanzie wapi.

Kidogokidogo yakaanza...'hatuchanji'...Mchungaji huyo mwenye ruti za Ulaya na Marekani kila wakati anadanganya waumini na taifa kwa ujumla ili hali anajua bila cheti cha chanjo kule haingii.

Mwingine akaanza shule ya uongozi... ambayo hajawahi kuiishi wala kuijaribu pindi alipopewa madaraka.

Watu wanamkejeli mama mpaka unadhani hawa wamesahau kama wanamkejeli rais wa nchi na mwenyekiti wa chama?

Anyway, dawa ni kumalizana nao 2022 katika uchaguzi ndani ya chama ili kuwakumbusha kiongozi ni nani!!
 
ruaharuaha

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
2,565
2,000
Kwani huyo mchungaji na mwenye shule ya uongozi wanagombea?

Shule ya uongozi hata wewe unaweza kuiazisha bure youtube, insta utoe hoja zako, madini yako, kuchanja ni hiari?

Aliyekufa ndio anayetukanwa na kukejeliwa kwa nguvu kubwa na viongozi waandamizi na waliokuwa viongozi. Angalia twitter, JF hapa.

Muhimu Samia achape kazi kwa weledi, kazi zake zitaonekana kwa Raia wote.
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
898
1,000
Kwani kuwaengua kunajenga chama au kukibomoa?

Umeongea upande mmoja bila kujiuliza huku mitaani nako wanalalamika shauri ya nini?

Huyo mama yako kawaachia mafisadi wanaendesha ikulu yeye anakata mawingu kila uchao?

Huku nchi imeanza kupigwa mnada,wewe unaongelea CCM hii ambayo kwa sasa watu wamejaa sumu juu ya huyo mama yako!

Tembea site mitaani usikie uhalisia acha kuishi kwa kuamini unayoyaona kwenye TV!

Hata Magufuli alisifiwa hivyo hivyo tena na watu hao hao!

CCM yako hii huenda kufikia 2025 ikafika ikiwa vipande vipande.
Sikilizia na utunze maneno yangu.

Mama yako katumbua makatibu nchi nzima na ukumbuke wale ndio wanajua ni nini na nani alifanya au ana ushawishi kuanxia mashinani.

Halafu ghafla unaliweka kundi lote hilo kuanzia taifa mpaka wilayani.
Unatarajia nini 2025?
 
Kama ni kuenguliwa CCM wameshaenguliwa wengi.. na hayo ya vipande hayakutokea na hayatatokea
 
Wewe huna unaloelewa na inaonekana ni kijana rika la hao kina shaka hamdu.
CCM iliponea chupuchupu 2015, baada ya Lowassa kujiengua. Na ndio maana kina Mkapa walikimbilia kumuweka Magufuli ili kuiokoa.

Aliyekuwa kaififisha CCM wakati huo mbele ya wananchi ndiye huyu huyu JK anayepanga safu ya wapigaji huku mama yenu akifurahia mizinga 23 ya ugenini.

Na sasa tumerudi kule kule.

Upinzani wa kuiondoa CCM hautatoka kwingine zaidi ya huko huko CCM.
HII NI NUKUU YA BABA WA TAIFA.1995.
 
Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
947
1,000
Mama Samia yuko sawa! Magufuli alitengeneza CCM MPYA yenye wanachama wengi na viongozi wengi MABUMUNDA sana!

Mama ameshawapangua wengi sana katika hili chujio la Makatibu wa Mikoa na Wilaya!
CCM ilianza kupoteza hadi uelekeo ilifika hadi mahali haya MABUMUNDA yakashindwa kutofautisha kati ya CCM na Magufuli!

Lipo lile likuu la Mkoa jinga lililosema kuanzishwe " MAGUFULI PARTY"! Mama alilitumbulia Mwanza baada ya kuzidisha uropokaji!

BUMUNDA lingine ni hili lililoanzisha CHUO CHA UONGOZI wakati kipindi cha Magufuli ndo kalikuwa kanaongoza kundi la kununua viongozi wa Upinzani kuanzaia Wenyeviti wa Mitaa,Madiwani na Wabunge ili kuunga juhudi za Magufuli na siyo CCM!

Magufuli amekufa nako kamekufa kisiasa!
Kanasema hakana hamu na Ubunge wakati kalikuwa kanakata viuno kwenye mazuria mekundu na kutishia watu na mavieite!

Kweli tumuogope sana Mwenyezi Mungu na Teknolijia (By Ruge Mutahaba)!
 
mbwe

JF-Expert Member
Feb 23, 2018
722
1,000
Alafu hako kapole pole serikali mbona inakalea Sana ,yaan kamejiachia eti kanatoa shule ya uongozi wakati ndiko kalifanya uhuni mwingi kipindi Cha uchaguzi,huo uongozi Bora kanakouimba Ni upi?
Tawanya ubongo wake fasta kakafie mbele ,kiukwel sipendag tujitu tunafki Kama hako kajamaa na sampuli za kina nnauye Hawa Ni kuwapoteza kabisa kwenye Raman ya dunia maana wapo kimaslah Zaid ,neema ikiwatembelea hawaongei Wala kukosoa au hata kuibua hoja ila ulaji ukikata wanaanza kubweka .
Tiss ya mama inafanya kazi gani ,why isiwapoteza Hawa kunguni ikiwezekana hata kuwadunga sindano tu ili wafe Kama wameugua ugonjwa wa kawaida
 
love life live life

JF-Expert Member
Sep 12, 2021
1,424

Uhuni mwingi ulimunufaisha nani timu mama anaupiga mwingi?
hata mama ananufaika na huo uhuni na 2025 uhuni uenndelee
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,469
2,000
Kwani kuwaengua kunajenga chama au kukibomoa?

Umeongea upande mmoja bila kujiuliza huku mitaani nako wanalalamika shauri ya nini?

Huyo mama yako kawaachia mafisadi wanaendesha ikulu yeye anakata mawingu kila uchao?

Huku nchi imeanza kupigwa mnada,wewe unaongelea CCM hii ambayo kwa sasa watu wamejaa sumu juu ya huyo mama yako!

Tembea site mitaani usikie uhalisia acha kuishi kwa kuamini unayoyaona kwenye TV!

Hata Magufuli alisifiwa hivyo hivyo tena na watu hao hao!

CCM yako hii huenda kufikia 2025 ikafika ikiwa vipande vipande.
Sikilizia na utunze maneno yangu.
Mama yako katumbua makatibu nchi nzima na ukumbuke wale ndio wanajua ni nini na nani alifanya au ana ushawishi kuanxia mashinani.
Halafu ghafla unaliweka kundi lote hilo kuanzia taifa mpaka wilayani.
Unatarajia nini 2025?

Hao waliotumbuliwa wana nini cha maana, maana hata kama Ni uchaguzi vyombo vya dola na tume isiyo huru ya uchaguzi kupitia madararaka ya urais, ndio yanasimamia ccm kutangazwa washindi kwa shuruti. Yaani majizi ya kura mnajifanya mna ushawishi mtaani. Kama mngekuwa mna ushawishi msingetegemea vyombo vya dola kufanya siasa chafu. Ccm yote imeshapoteza ushawishi kwa umma, hapo mlipo ni vita vya mlo wala sio kutumikia wananchi.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,469
2,000
Wewe huna unaloelewa na inaonekana ni kijana rika la hao kina shaka hamdu.
CCM iliponea chupuchupu 2015, baada ya Lowassa kujiengua. Na ndio maana kina Mkapa walikimbilia kumuweka Magufuli ili kuiokoa.

Aliyekuwa kaififisha CCM wakati huo mbele ya wananchi ndiye huyu huyu JK anayepanga safu ya wapigaji huku mama yenu akifurahia mizinga 23 ya ugenini.

Na sasa tumerudi kule kule.

Upinzani wa kuiondoa CCM hautatoka kwingine zaidi ya huko huko CCM.
HII NI NUKUU YA BABA WA TAIFA.1995.

Ccm chini ya Magufuli haikuwahi kuwa imara, ila aliendesha siasa za kidhalimu huku akijenga hofu, kuteka watu na hata wengine kuwapoteza. Kwenye chaguzi tulishuhudia chaguzi za kishenzi, ukatili na uhayawani wa wazi ili ccm watangazwe washindi. Labda mtafute wajinga ndio mnaweza kuwahadaa kuwa eti ccm kipindi cha Magufuli ilikuwa imara. Ki ukweli ccm haikuwa imara, ila ilitegemea madaraka yake yaliyotumika vibaya. Toka lini ulevi wa madaraka ukawa uimara wa chama?
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,585

Unajua we jamaa ni mchawi dhahiri,tena wa mchana?
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,598
2,000
Salaam!
Kuna post nyingi na kelele nyingi na kampeni nyingi za uongo kumhusu mama mitandaoni na mitaani!
Nyingi zinaendeshwa na wana CCM kindakindaki tena wengi wenye vyeo.
Unajaribu kujiuliza, kulikoni?
Kutoka kwenye, 'atake asitake tutamuongezea muda' mpaka kwenye kashfa na kejeli hizi chafu tena za uongo!!!
Jibu linakuja, 'Magufulism/ umagufuli'

Mwenda zake, nimseme kidogo japo sio kwa ubaya sanaaa maana kikwetu sio vizuri kumsema marehemu...
Mwendazake alitengeneza mapomondo ndani ya CCM... kama tu yale yanayozungukaga mtaani, 'tunauza sumu ya kunguni, utitiri, chawa, papasi, viroboto na vyombo vipo' ... Likimaliza linaanza tena... na tena ..na tena hadi betri iishe.
Watu waliazimisha akili zao, wakasifu na kuabudu na kishangilia bila kufikiri..

Sasa kibao kimegeuka kidogo, mama anataka watu wenye kufikiri na kuwajibika katika uongozi wake na hana mpango wa kusifiwa au kuabudiwa...yale mapomondo yameduwaa, hayajui yaanzie wapi..
Kidogokidogo yakaanza...'hatuchanji'...Mchungaji huyo mwenye ruti za Ulaya na Marekani kila wakati anadanganya waumini na taifa kwa ujumla ili hali anajua bila cheti cha chanjo kule haingii...
Mwingine akaanza shule ya uongozi... ambayo hajawahi kuiishi wala kuijaribu pindi alipopewa madaraka.

Watu wanamkejeli mama mpaka unadhani hawa wamesahau kama wanamkejeli rais wa nchi na mwenyekiti wa chama?
Anyway, dawa ni kumalizana nao 2022 katika uchaguzi ndani ya chama ili kuwakumbusha kiongozi ni nani!!
Wewe mpasuka malinda upo upande gani, wa mama au upo huru?
Huwezi kujua mwaka 2015 hali ilivyokua mitaani na jezi za CCM,
Watu walizivaa na kuzivua mkutanoni tu.

Sasa leo unatembea unatikisa mdebwedo unaona wanaolalamika ninwajinga?
Tumikieni watu kwa heshima ili chama kibaki na nguvu ya pamoja.
 
voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
898
1,000
Unajua we jamaa ni mchawi dhahiri,tena wa mchana?
Hivi kwa akili ya kawaida kabisa, ulitegemea kwamba 2020 Lissu alikuwa na uwezo wa kumshinda JPM?
Kama unaamini hivyo, basi akili yako imepinda kama miguu ya Lisuu isivyolingana.
Na wewe ubongo wako haulingani balance kwenye fuvu,nadhani uko mwingi upande mmoja na ujazo mdogo upande wa pili.
Avatar yako ya tindo ni ishara ya mtu anayetumika kama sifa ya tindo.
Nimemaliza!
 
ruaharuaha

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
2,565
2,000
Mama Samia yuko sawa! Magufuli alitengeneza CCM MPYA yenye wanachama wengi na viongozi wengi MABUMUNDA sana!

Mama ameshawapangua wengi sana katika hili chujio la Makatibu wa Mikoa na Wilaya!
CCM ilianza kupoteza hadi uelekeo ilifika hadi mahali haya MABUMUNDA yakashindwa kutofautisha kati ya CCM na Magufuli!

Lipo lile likuu la Mkoa jinga lililosema kuanzishwe " MAGUFULI PARTY"! Mama alilitumbulia Mwanza baada ya kuzidisha uropokaji!

BUMUNDA lingine ni hili lililoanzisha CHUO CHA UONGOZI wakati kipindi cha Magufuli ndo kalikuwa kanaongoza kundi la kununua viongozi wa Upinzani kuanzaia Wenyeviti wa Mitaa,Madiwani na Wabunge ili kuunga juhudi za Magufuli na siyo CCM!

Magufuli amekufa nako kamekufa kisiasa!
Kanasema hakana hamu na Ubunge wakati kalikuwa kanakata viuno kwenye mazuria mekundu na kutishia watu na mavieite!

Kweli tumuogope sana Mwenyezi Mungu na Teknolijia (By Ruge Mutahaba)!

Bila JPM kukiongoza chama chenu 2015, ukiacha ngojera zako, CCM ingekuwa chama cha upinzani dhaifu, cha ufisadi, rushwa, kisichojali chochote, chama cha hovyo sana kisichokuwa na ushawishi wowote TZ.

Wengi wa hawa wabunge, mawaziri, Waziri Mkuu, Naibu Rais, Rais, wasingekuwepo hapo walipo.

Historia inatabia ya kujirudia ukiipuuza.

Unaendeleza upuuzi ule ule wa Kabla ya 2015, matokeo yatakuwa yaleyale.
 
Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
947
1,000
Bila JPM kukiongoza chama chenu 2015, ukiacha ngojera zako CCM ingekuwa chama cha upinzani dhaifu sana. Wengi wa hawa wabunge, mawaziri, Rais, wasingekuwepo hapo walipo.

Historia inatabia ya kujirudia. Ukiipuuza.
Huijui CCM wewe! Wewe endelea kusugua matako kwenye benchi za Mahakama kufuatilia kesi ya Mbowe.
 
mfianchi

JF-Expert Member
Jul 1, 2009
10,971
2,000
Salaam!
Kuna post nyingi na kelele nyingi na kampeni nyingi za uongo kumhusu mama mitandaoni na mitaani!
Nyingi zinaendeshwa na wana CCM kindakindaki tena wengi wenye vyeo.
Unajaribu kujiuliza, kulikoni?
Kutoka kwenye, 'atake asitake tutamuongezea muda' mpaka kwenye kashfa na kejeli hizi chafu tena za uongo!!!
Jibu linakuja, 'Magufulism/ umagufuli'

Mwenda zake, nimseme kidogo japo sio kwa ubaya sanaaa maana kikwetu sio vizuri kumsema marehemu...
Mwendazake alitengeneza mapomondo ndani ya CCM... kama tu yale yanayozungukaga mtaani, 'tunauza sumu ya kunguni, utitiri, chawa, papasi, viroboto na vyombo vipo' ... Likimaliza linaanza tena... na tena ..na tena hadi betri iishe.
Watu waliazimisha akili zao, wakasifu na kuabudu na kishangilia bila kufikiri..

Sasa kibao kimegeuka kidogo, mama anataka watu wenye kufikiri na kuwajibika katika uongozi wake na hana mpango wa kusifiwa au kuabudiwa...yale mapomondo yameduwaa, hayajui yaanzie wapi..
Kidogokidogo yakaanza...'hatuchanji'...Mchungaji huyo mwenye ruti za Ulaya na Marekani kila wakati anadanganya waumini na taifa kwa ujumla ili hali anajua bila cheti cha chanjo kule haingii...
Mwingine akaanza shule ya uongozi... ambayo hajawahi kuiishi wala kuijaribu pindi alipopewa madaraka.

Watu wanamkejeli mama mpaka unadhani hawa wamesahau kama wanamkejeli rais wa nchi na mwenyekiti wa chama?
Anyway, dawa ni kumalizana nao 2022 katika uchaguzi ndani ya chama ili kuwakumbusha kiongozi ni nani!!
Mkuu umesahau kwamba hata wewe ulikuwa nambari wani kumkejeli mwendazake, na sasa bado unaendelea kumkejeli,utadhani yeye ndie alikwamisha maisha yako,uzi wako ni kinafiki mbona na wewe ulikuwa mstari wa mbele kumkejeli mwendazake ? nawe leo umekuwa popoma na unalazimisha unazi wako wa kujikomba kwa mama,au unataka tuzitoe nyuzi za kejeli zako? mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu mchungu. Kafie mbele huko .
 
ruaharuaha

JF-Expert Member
Feb 14, 2018
2,565
2,000
Huijui CCM wewe! Wewe endelea kusugua matako kwenye benchi za Mahakama kufuatilia kesi ya Mbowe.

Nini CCM, huwajui Watanzania, nguvu yako, kipaji chako, chenu ni matusi, kejeli, uongo, kupotosha, wewe na wenzako wote.

Mnasahau kitu alichofanya JPM, formula ni rahisi sana, chapa kazi, wajali wananchi wako kiukweli, kwa dhati.

Watembelea, sikiliza matatizo yao, yatatue chapchap.

Maji, umeme, elimu afya,barabara miundombinu, kipato, nidhamu, simamia Serikali yako.

Fukuza wasio na vigezo, wahuni, fake wala rushwa.

Nimekupa formula kwa ufupi ili SSH apendwe sana kuliko JPM, kibarua chako kiendelee.
 
Fumadilu Kalimanzila

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
947
1,000
WWa
Nini CCM, huwajui Watanzania, nguvu yako, kipaji chako, chenu ni matusi, kejeli, uongo, kupotosha, wewe na wenzako wote.

Mnasahau kitu alichofanya JPM, formula ni rahisi sana, chapa kazi, wajali wananchi wako kiukweli, kwa dhati.

Watembelea, sikiliza matatizo yao, yatatue chapchap.

Maji, umeme, elimu afya,barabara miundombinu, kipato, nidhamu, simamia Serikali yako.

Fukuza wasio na vigezo, wahuni, fake wala rushwa.

Nimekupa formula kwa ufupi ili SSH apendwe sana kuliko JPM, kibarua chako kiendelee.
Watanzania nawajua vizuri saaaana! Ni wale watazajana kwenye mikutano ya CHADEMA kusikiliza comedy za akina Mbowe na Lissu Ila siku ya uchaguzi kura wanaipigia CCM!
Nyie mnabaki na nyimbo za nyomi! nyomi! ila kwenye ballot box hakuna kura!
Hakuna cha Rais Samia kupendwa ama kutopendwa issue ni kwamba mpende msipende Samia ndiye Rais kwa sasa!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom