Kwenye kushughulikia migogoro ya ndani Chadema wako na Utulivu kuliko CUF.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,763
Nimewaona wanachama wa CUF wanavyoparurana kupitia Star tv kiukweli pale hamna chama ni sawa na kikundi cha wavuvi.

Abdul Kambaya anasema ruzuku ilikuwa haifiki majimboni ililiwa pale makao makuu ilhali yeye alikuwa hapohapo.
Kambaya na Nape wanafanana sana yawezekana wote ni wamakonde.

Afadhali Chadema nyakati za migogoro heshima inalindwa.

Maendeleo hayana vyama!
 
Nape hapa anaingia vipi ama kisa anauliza hela za miradi ya kimkakati ikiwemo kupima samaki kwa rula. Nape shikilia hapo hapo.
FB_IMG_1636566345863.jpg
 
Nimewaona wanachama wa CUF wanavyoparurana kupitia Star tv kiukweli pale hamna chama ni sawa na kikundi cha wavuvi.

Abdul Kambaya anasema ruzuku ilikuwa haifiki majimboni ililiwa pale makao makuu ilhali yeye alikuwa hapohapo.
Kambaya na Nape wanafanana sana yawezekana wote ni wamakonde.

Afadhali Chadema nyakati za migogoro heshima inalindwa.

Maendeleo hayana vyama!
John Mimi siku zote nakunathibisha na wanakijani, kama sio lete hoja kinzani.
 
Back
Top Bottom