Peter Kibatala anaendelea na kesi ya Mbowe

Kujiondoa kwenye kesi hakuna maslahi kwa Mbowe na wala hakutaifanya ccm washindwe kutekeleza jambo lao la kumfunga Mbowe.

Kibatala aendelee ili hata Mbowe akifungwe shetani awe ameaibishwa.
 
Salaam Wakuu

Wakili Peter Kibatala yupo mahakamani aendelea na kesi ya Mbowe.

Si kweli kwamba kajiondoa.
Kibatala ana akili zilizo tulia, sio waru waru kama wafuasi wengine wa mbowe.
Kibatala anaiheshimu taaluma yake, anafahamu kuwa kuna maisha baada ya kesi ya mbowe.
lazima maisha yaendelee.
 
Mahakama zetu zimefanywa Kangaroo Courts na hichi Chama cha Mashetani wasio na huruma kwa Mtanzainia
 
Hivi wewe na yule Pimbi mwenzio mlioanzisha thread ya Kibatala kujitoa mmewapa nini Mods? Mnafanya upuuzi bado mnalelewa tu.
Hao watu ni zaidi ya watumikia sheitwan na huo ndiyo ukweli.

Usishangae ukakuta ndiyo kati ya watu wanao itwa WASIYO JULIKANA.
 
Peter Kibatala wakili msomi ongoza jopo la mawakili ili dunia nzima ijue maovu ambayo yanafanywa na watawala. Maana bila hakuna kitakachojulikana .Mungu azidi kuwapa nguvu na kupitia kwenu tupate uhuru ulio wa kweli,na hizi kesi za kutengeneza mwisho wake uwe hii.Inshallah Mungu yupo na wote tuseme AMINA.
 
Kujiondoa kwenye kesi hakuna maslahi kwa Mbowe na wala hakutaifanya ccm washindwe kutekeleza jambo lao la kumfunga Mbowe.

Kibatala aendelee ili hata Mbowe akifungwe shetani awe ameaibishwa.
Corona ndiyo habari ya mujiiini
 
Peter Kibatala wakili msomi ongoza jopo la mawakili ili dunia nzima ijue maovu ambayo yanafanywa na watawala. Maana bila hakuna kitakachojulikana .Mungu azidi kuwapa nguvu na kupitia kwenu tupate uhuru ulio wa kweli,na hizi kesi za kutengeneza mwisho wake uwe hii.Inshallah Mungu yupo na wote tuseme AMINA.
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina
 
Kibatala oyeee!.........
kibatala safiiii..sio safiiii.......
 
Peter Kibatala wakili msomi ongoza jopo la mawakili ili dunia nzima ijue maovu ambayo yanafanywa na watawala. Maana bila hakuna kitakachojulikana .Mungu azidi kuwapa nguvu na kupitia kwenu tupate uhuru ulio wa kweli,na hizi kesi za kutengeneza mwisho wake uwe hii.Inshallah Mungu yupo na wote tuseme AMINA.
hakuna wakili kilaza kama hyo jamaa yeye kila siku ni mapingamizi ambayo hayazai matunda inamaana sheria hazijui analeta blabla tu mahakamani
 
Kibatala kujiondoa atakuwa ameisaliti taaluma yake na jamii yake.
 
hakuna wakili kilaza kama hyo jamaa yeye kila siku ni mapingamizi ambayo hayazai matunda inamaana sheria hazijui analeta blabla tu mahakamani
Mapingamizi yanashindwa kwa vile Majani wapo kiccm hawafuati sheria
 
Back
Top Bottom