Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nakumbuka enzi za hayati rais Magufuli Alituambia kusafiri kwenda nje kuna gharimu sana pesa Ndio maana yeye hakutaka kusafiri Ila sasa mambo yamekuwa tofauti utawala huu Nauliza tu mimi kama...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Africa's Sights Set on Oil and Gas Haul Despite Global Shift Yousef Saba and Raya Jalabi Friday, November 12, 2021 Illustration - Credit:Tim on Tour/AdobeStock Several African countries plan to...
1 Reactions
2 Replies
639 Views
Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu. Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki. Inafahamika kuwa...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Mzee wetu Generali Ulimwengu amefunguka mengi juu ya kujipendekeza. Tazameni ujumbe alio utoa juu ya viongozi wa muhimili mmoja kuamua kujikomba kwa muhimili mwingine. Hili liwe ni fundisho kwa...
39 Reactions
65 Replies
6K Views
1. ACP Kingai, Afisa wa polisi 2. Justine Kaaya, Afisa wa polisi?? 3. H 4323 Constable Msemo, Afisa wa polisi 4. Anisha Valerian Mtalo, Mama muuza mbege 5. Fredy Kapara, Mwanasheria tiGo 6. SSP...
9 Reactions
28 Replies
3K Views
Neno Machinga linasimama hapa kwa niaba ya kada yote ya chini, yaani wavuja jasho. Humo kuna Boda boda, wapiga debe, mama lishe, makuli, vibarua, nk, wakiwamo pia machinga wenyewe. Machinga...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Yaani hii ni nchi ya Wadanganyika every year... Waziri na PHD yake ya Uchumi, anasimama na kusema uwongo mchana kweupe..... Eti Uchumi unakuwa kwa 7% while kilimo ni 4% Asilimia kubwa ya...
2 Reactions
4 Replies
947 Views
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana...
17 Reactions
66 Replies
5K Views
Habari JamiiForums. Leo 08/11/2021 kilichotokea eneo la Mbezi Louis ni kichocheo cha vurugu. Hii inatokana na maamuzi yaliyotolewa na mkuu wa wilaya na viongozi wengine ambao waliongozana kwenye...
9 Reactions
86 Replies
8K Views
Aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Ndugu Godfrey Gugai na Maafisa wengine watatu wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka 43...
7 Reactions
97 Replies
12K Views
Katika miongo miwili iliyopita, tumeshuhudia uwekezaji mkubwa ukifanywa na Serikali ya Tanzania kwenye miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji. Ukiacha ujenzi wa barabara ulioongeza mtandao wa...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Huyu mama Maajar ni miongoni mwa Waanzilishi/Wamiliki wa kampuni ya REX ATTORNEYS na hiyo kampuni ya uwakili ndiyo inayoiwakilisha Symbion na Dowans katika kesi zao dhidi ya TANESCO. Halafu...
25 Reactions
58 Replies
6K Views
6Kila wakati wa sikukuu ya Pasaka, Pilato alikuwa na desturi ya kuwafungulia mfungwa mmoja waliyemtaka. 7Basi, kulikuwa na mtu mmoja aitwaye Baraba, ambaye alikuwa amefungwa pamoja na waasi...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kesi hii inayovutia hisia za wengi, zaidi ya weledi ilihitaji uhuru stahiki wa mhimili wa mahakama na uthubutu wa Jaji katika kutoa haki tupu na kwa mujibu wa sheria. Pungufu ya hivyo...
34 Reactions
89 Replies
8K Views
ZIARA YA KATIBU MKUU WA CCM NA SEKRETARIETI YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA MIKOA YA GEITA, KAGERA, KIGOMA, KATAVI NA TABORA Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo atakuwa na...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
Baada ya Mawakili wa Utetezi kuweka pingamizi kuhusu ushahidi wa Afande Jumanne, ikakubaliwa kuwepo kwa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa ili kupata majibu halali ya kisheria kutokana utata uliopo...
15 Reactions
181 Replies
29K Views
Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Najikumbusha tu enzi zile pale Kisutu na zile kesi za Mtikila za kuwaita waasia " magabachori" Mahakama ilikuwa ndogo kwa kweli na Mtikila rip alionekana kama shujaa wa taifa huku wakili wake...
0 Reactions
2 Replies
622 Views
Elibariki Kingu ni mbunge wa jimbo la Singida Magharibi mkoani Singida.Kutokana na upungufu wa zahanati na madawati kwenye jimbo lake ameamua kukataa posho za vikao vya bunge na kumwandikia spika...
5 Reactions
90 Replies
13K Views
Back
Top Bottom