Bwana awe nanyi,
Viongozi wa CHADEMA wametoa taarifa rasmi ya maendeleo ya mgonjwa wetu huko Nairobi. Tunashukuru Mungu Tundu Lissu anaendelea vizuri.
Furaha ya maendeleo ya mgonjwa ilitiwa doa...
Amani ya bwana.
Imezuka sintofahamu kubwa ndani ya jamii mara baada ya madiwani 10 wa chadema kutangaza kuachia ngazi na kurudi ccm.
Sintofahamu hii imeletwa na wabunge Godbless Lema na Joshua...
Nimesoma nyuzi na comment nyingi humu jukwaani zinazodai wapiga dili wamerudi.
Ndio nauliza hao wapiga dili walitoka CCM na kujiunga na upinzani au walikwenda wapi?
Hao mnaowaita wapiga dili...
Kumbuka Katika maisha kuna mtu huwezi kumkwepa. Anaitwa chakubimbi. Chakubimbi ni mtu mwenye mdomo mkubwa, akili ndogo.
Sikiliza! Mara nyingi huwa kuna ukweli ndani ya neno natania na kuna siri...
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Bashiru amejitambulisha Zanzibar na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amemtaka akautendee haki uteuzi wake kwa kuwaletea maendeleo wananchi.
Maendeleo hayana vyama!
Jumla ya watoto 6,168 wamefanyiwa ukatili wa kijinsia kati ya Januari hadi Desemba 2021, Bunge limeelezwa leo Ijumaa Novemba 12, 2021. Kati ya hao, watoto wa kike walikuwa 5,287 na wanaume ni 881...
Aliyekuwa mtia nia wa ugombea ubunge Jimbo la Mtama kwa tiketi ya CCM Ndugu Selemani Mathew Luwongo ameamua kuhamia Chadema jioni hii baada ya shinikizo kubwa toka kwa wananchi ambao...
Ni vigumu kusafiri kwenda mbali kusema habari za mazingira kama wananchi bado wanawasha moto wa Kuni ili TU kupata mwanga wa kumulikia usiku kusoma na kupika jikoni.
Kama Mtu hana njia nyingine...
Jana Mh Rais mama Samia Suluhu alimteua Thobias Mwesiga Richard kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC).
Hii ilikuwa imani kubwa sana kwa vijana kupewa nafasi kubwa...
Hapo vip!!
Kwanza huwa na kukubali kwasababu ni moja wa viongozi vijana unayejielewa na unabusara pia.
Ila lazima nikuchane inapotokea jambo ambalo halijakaa vizuri!!
Hili swala la mgawo wa...
Dunia ya sasa biashara za mitandaoni ni kubwa mno na hazina mipaka
Waweza uza chochote mitandaoni
Njia ya malipo ya haraka ya kupokea pesa mitandaoni ni njia ya Paypal ikiruhusiwa itafungua...
Mama Samia ukweli ulio wazi kabisa ni kuwa watanzania walio wengi ni wakulima.
Hapa nazungumzia 70% ya watanzania wote, hebu jionee jinsi hili kundi lilivyo na watu wengi kuliko shughuli nyingine...
Miaka mingi iliyopita Bunge la bajeti lilikuwa linapanga mapato na matumizi ya serikali kuu, ni kweli hata mwaka huu lilipanga hivyo lakini tofauti na huko nyuma hivi sasa pesa za matumizi ya pesa...
Najiuliza tu.
Kwa sababu DG wa TPDC na DG wa Dawasa wote wako chini ya mawaziri wa wizara husika ambao ndio wanazungumza kwa niaba ya serikali.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Waziri wa fedha Dk Mwigulu Nchemba amefunguka na kuwachana wanaohoji kukua kwa deni la taifa kuwa wasihoji kwa kukurupuka kama wamebambikwa mbali wahoji kwa kuangalia na miradi iliyotekelezwa...
kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua.
Nape ana chuki...
1. Tume ya uchaguzu inachaguliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
2. Msajili wa vyama vya siasa huteuliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
3. Rais ambaye ni mwenyekeiti wa CCM...
Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni.
Kwa...
Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa...
Katika kuongea na wenzetu wana siasa Ulaya na Marekani, ni muhimu kutazama tatizo lolote kwa uwigo mpana zaidi.
Wakati wa utumwa , waafrika walichukuliwa kuwa kama wanyama wa kazi, kama punda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.