Kilimo kimeshuka eti uchumi umekua, how comes?

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,945
3,237
Yaani hii ni nchi ya Wadanganyika every year...

Waziri na PHD yake ya Uchumi, anasimama na kusema uwongo mchana kweupe.....

Eti Uchumi unakuwa kwa 7% while kilimo ni 4%


Asilimia kubwa ya watanzania ni kilimo, 70%

Je inaleta logic hii (is it good reasoning)

Zama za propaganda na uwongo uwongo umepita....

Kuna simple economic principle....Uchumi wa mtu mmoja mmoja ukikuwa na ndio uchumi wa Taifa unakuwa pia...... Uchumi wa USA au UK ni mkubwa kwa sababu pia wananchi wengi ni daraja la juu, la kati na Daraja la chini ni wachache sana.....almost negligible...

Hata uchumi wa Form 5 na 6 wanamzidi Dr. Mipango

Sasa huyu Dr. Mipango anadanganywa na Waziri wa Kenya weka VAT na yeye anaweka...ha ha haa

Kafulila Amesema ruzuku ya TANESCO ni Billioni 400 while Mbolea ni 10 billion

Wao wanafanya uchumi wa siasa za uwongo, na John anasema siasa mpaka 2020...

Wakuu wa Mikoa wanafanya siasa (Arusha), eti siasa 2020...

Wanafunzi wanakosa mikopo, dawa pungufu hospitalini, pesa ya Maafa imeliwa, FAO la KUJITOA wameminyia chini.....Mtetezi wa wanyonge......Siasa chafu na hadaa
 
Back
Top Bottom