Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tena ni Komandoo wa Jeshi na akiwa na pingu mkononi, bila kujali mateso anaamua kuamsha shangwe. Hii maana yake nini?
11 Reactions
53 Replies
4K Views
Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mwanza Ukaribu wa Ukerewe na mkoa wa Mara (Bunda) Hoja: 1. Ukerewe iko jirani na mkoa wa Mara kuliko mkoa wa Mwanza. 2. Ninadhani Ukerewe iondolewe mkoa wa Mwanza...
12 Reactions
161 Replies
14K Views
Mwenge wanusa harufu ya rushwa na ufisadi kwenye miradi 49 kati ya miradi 1,097 yenye thamani ya 1.2trilioni iliyozinduliwa | TZS 65b zahofiwa kutafunwa na mchwa,Je ni kweli Mwenge haufai...
5 Reactions
73 Replies
5K Views
Tanzania Cuts GDP Growth Forecast, Hikes Deficit Fumbuka Ng'Wanakilala, Bloomberg News Sep 17, 2021 (Bloomberg) -- Tanzania has slashed its growth forecast for this year and raised its projected...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Samia,una habari Nchi ipo gizani? Hivi unatambua umeme ni bidhaa adhimu mno Tanzania kote kwa sasa? Una habari unapo kuwa kule batani ambapo sasa ndipo ulipopapenda wenzako huku wanajipigia tu...
20 Reactions
108 Replies
7K Views
Wadau nawasalimu, Nichukue nafasi hii kuwaomba viongozi wetu wa dini kutumia busara na hekima zao walizojaliwa na Mungu kuwakusanya Marais wote wastaafu bara na visiwani,Makamu wa Rais wote wa...
1 Reactions
7 Replies
817 Views
Mtu yeyote mwenye akili timamu ataliona hili. Sijui kwanini most people are addicted to this kind of thinking. Ukisoma pambio zito la sifa analopewa Mbowe, unajua tu hawa kweli Mbowe kwao ni...
17 Reactions
160 Replies
11K Views
Dkt. Slaa ndiye mgombea pekee mwenye sifa zote za kuwa Rais, kuwahi kugombea kupitia CHADEMA FREEMAN MBOWE walimjaribu 2005 wakaona hamna kitu ndio maan 2010 wakamuweka kando na kwenda na Slaa...
2 Reactions
72 Replies
5K Views
JE,UNAMFAHAMU PROF.ABDULRAHAMAN MOHAMED BABU? Leo nimejikuta namkumbuka sana Mwalimu wangu Prof.Haroub Othaman Miraji.Prof.Haroub Othaman alifariki tarehe 28/06/2009,moja kati ya vifo vilivyowahi...
5 Reactions
47 Replies
24K Views
Kama Bwawa liko tayari na Mifuniko ipo tatizo pekee ni Crane Watanzania mbalimbali wameshasema Crane zipo. Maji yaanze kujazwa haraka Tunajua unataka kuanza kujaza baada ya mvua kuanza ili...
9 Reactions
36 Replies
2K Views
Kesi ya Mbowe na wenzake imethibitisha ubovu wa mahakama ya Tanzania. Ni dhahiri chombo hiki si huru na wala hakina uadilifu. Mahakama inashirikiana na mawakili wa Serikali kutoa nyaraka za...
35 Reactions
79 Replies
6K Views
Job Ndugai, spika wa bunge la JMT aliwahi kulitangazia taifa na dunia kwamba ana faili Milembe. Bila mashaka yoyote nadhani alimaanisha kwamba yeye aliwahi kuugua kichaa yaani kuwa na matatizo ya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
13 November 2021 MACHINGA WAVAMIA ENEO LA KANISA BAADA YA KUHAMISHWA, TAHARUKI KUBWA YAIBUKA Mgogoro mkubwa umeibuka kati ya Kanisa la Orthodox lililopo Mbuyuni, Salasala jijini Dar es Salaam...
5 Reactions
23 Replies
4K Views
Prisca Ulomi, WHMTH Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais TAMISEMI na Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wamekutana na Wakuu wa Mikoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Najiuliza tu hasa nikizingatia utaratibu wa kumpata Jaji mkuu na Spika wa bunge jinsi ulivyo. Pia utaratibu wa kumpata makamu wa Rais wa JMT. Nakumbuka kwenye mazishi ya Magufuli Rais mstaafu...
1 Reactions
11 Replies
707 Views
Kiukweli serikali iheshimu sekta binafsi. Kujiajiri kwa mafanikio ni kipaji cha kipekee sana. Hivi inawezekana vipi Joshua Nassari kutumia pesa za ubunge kwenda kusoma nje, lakini unarudi...
32 Reactions
60 Replies
5K Views
Masaa machache baada ya Rais Samia kuhutubia UN Gen Assembly huko New York Marekani na kurejea nchini || Sasa rasmi Makamu wa Rais benki ya dunia kutua Tanzania 27|28|09|2021...
7 Reactions
70 Replies
6K Views
(Abu al Liby ©FBI/Reuters) Mtuhumiwa wa ugaidi aliyehusika na shambulizi la kulipua balozi za Marekani nchini Tanzania na Kenya mwaka 1998, Abu Anas al Liby ameripotiwa kukamatwa nchini Libya...
8 Reactions
78 Replies
24K Views
Picha hii ilipigwa Mwaka 2000 katika Mji wa Den Haag au The Hague huuko Uholanzi ambako ulifanyika Mkutano wa Nchi wa Sita au The Sixth Conference of Parties (CoP6) chini ya Shirika la Umoja wa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom