Gazeti la Mwananchi la Machi 16,2021, lilikuwa na habari kwamba Samia Suluhu Hassan, ambaye wakati huo alikuwa Makamu wa Rais, amesema kwamba tatizo la kukatika kwa umeme litafikia mwisho siku...
Je, kweli Jenerali Ulimwengu anawatumikia watanzania kama vile alivyokuwa Habari Corparation, Chanel na sasa yupo gazeti la Raia Mwema, au tuseme sasa anamtumikia mwanasiasa mmoja aliekuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Desemba, 2018 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)...
Jana kwenye kesi ya Mbowe shahidi wa Jamhuri (polisi) amefumaniwa ameingia na simu na diary kizimbani baada ya akina Kibatala kumgundua. Hiyo ni kinyume na taratibu za kutoa ushahidi na shahidi...
Wadau salamu zenu
Wakati mh Rais John Magufuli alipotoa maagizo kwamba wadau wote wanaohusiana na masuala ya bandari katika utowaji wa mizigo wafanye kazi kwa masaa 24 ili kuongeza uzalishaji na...
Nimeangalia muda huu live coverage mama yetu mpendwa Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake nchini Misri.
Kilichonifurahisha kumbe this time mama amekwenda na air Tanzania, angalau hii...
Kwa mtazamo wangu maendeleo yanaweza kupatikana ikiwa rasilimali za nchi zikapata usimamizi mzuri na mipango ya maendeleo ikapangiliwa vizuri lkn pia wananchi wakatimiza wajibu wao.
Kwa upande...
DIWANI ILEJE ANUSURIKA KIPIGO CHA WANANCHI KISA UJENZI WA KITUO CHA AFYA,DC AFIKA NA KUZOMEWA, MGAMBO Akatwa MAPANGA.
Diwani wa kata ya Ndola Mhe Bahati Kyomo amenusurika kupigwa na Wananchi wa...
Wakuu kwanza tunaomba radhi sana kwa kuwachosha na hizi habari zetu za Chadema Digital, tunaomba tuvumiliane kidogo.
Hapa ni kijiji cha Mwantini kwenye Jimbo la Solwa huko Shinyanga ambako semina...
Nakumbuka enzi za hayati rais Magufuli
Alituambia kusafiri kwenda nje kuna gharimu sana pesa
Ndio maana yeye hakutaka kusafiri
Ila sasa mambo yamekuwa tofauti utawala huu
Nauliza tu mimi kama...
Africa's Sights Set on Oil and Gas Haul Despite Global Shift
Yousef Saba and Raya Jalabi
Friday, November 12, 2021
Illustration - Credit:Tim on Tour/AdobeStock
Several African countries plan to...
Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu.
Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki.
Inafahamika kuwa...
Mzee wetu Generali Ulimwengu amefunguka mengi juu ya kujipendekeza.
Tazameni ujumbe alio utoa juu ya viongozi wa muhimili mmoja kuamua kujikomba kwa muhimili mwingine.
Hili liwe ni fundisho kwa...
Neno Machinga linasimama hapa kwa niaba ya kada yote ya chini, yaani wavuja jasho.
Humo kuna Boda boda, wapiga debe, mama lishe, makuli, vibarua, nk, wakiwamo pia machinga wenyewe.
Machinga...
Yaani hii ni nchi ya Wadanganyika every year...
Waziri na PHD yake ya Uchumi, anasimama na kusema uwongo mchana kweupe.....
Eti Uchumi unakuwa kwa 7% while kilimo ni 4%
Asilimia kubwa ya...
Sijui ni kutokuelewa protocols ama ndio business as usual? Ripoti ya uchunguzi wa silaha ilipaswa kuwasilishwa na walioomba uchunguzi huo, sio na aliyechunguza. Mchunguzi kwanza hata alikuwa hana...
Habari JamiiForums.
Leo 08/11/2021 kilichotokea eneo la Mbezi Louis ni kichocheo cha vurugu. Hii inatokana na maamuzi yaliyotolewa na mkuu wa wilaya na viongozi wengine ambao waliongozana kwenye...
Aliyekuwa Mhasibu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Ndugu Godfrey Gugai na Maafisa wengine watatu wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na kusomewa mashtaka 43...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.