Najiuliza tu.
Kwa sababu DG wa TPDC na DG wa Dawasa wote wako chini ya mawaziri wa wizara husika ambao ndio wanazungumza kwa niaba ya serikali.
Mungu wa mbinguni awabariki sana!
Waziri wa fedha Dk Mwigulu Nchemba amefunguka na kuwachana wanaohoji kukua kwa deni la taifa kuwa wasihoji kwa kukurupuka kama wamebambikwa mbali wahoji kwa kuangalia na miradi iliyotekelezwa...
kwa tunaomfahamu Nape na tuliyopata kuyajua machache juu yake hatushangazwi kusikia anayosema ila tunachoshangazwa ni kuchelewa kwako kuzungumzia unafiki wake watanzania wakaujua.
Nape ana chuki...
1. Tume ya uchaguzu inachaguliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
2. Msajili wa vyama vya siasa huteuliwa au kufutwa kazi na mwenyekeiti wa CCM
3. Rais ambaye ni mwenyekeiti wa CCM...
Inavyoonekana siasa za nchi hii zimeelemewa na CCM maana pamoja na wapinzani kuwa katikati ya changamoto lukuki, bado habari zao hazipewi nafasi kubwa ya kuzungumzwa hasa humu mitandaoni.
Kwa...
Tabia ya demokrasia ni kuweka mlolongo wa mambo ambapo hata maamuzi mazuri na yenye tija bado yanahitaji maamuzi ya wengi ili yatekelezwe tofauti na mahali ambako hakuna demokrasia mnyororo wa...
Katika kuongea na wenzetu wana siasa Ulaya na Marekani, ni muhimu kutazama tatizo lolote kwa uwigo mpana zaidi.
Wakati wa utumwa , waafrika walichukuliwa kuwa kama wanyama wa kazi, kama punda na...
Naelezwa hapa kwamba siasa za Tanga zimeshika kasi baada ya Ummy Mwalimu kubeba mikoba ya akina Mwantumu Mahiza, Aisha Kigoda na Beatrice Shelukindi so Da Ummy anakimbiza kweli kweli na ndio...
"Makamba naye asema tunahitaji Rais ajaye wa dikteta"
Ni kumaliza rushwa nchini, asisitiza hatanii anautaka urais 2015, aihadharisha CCM dhidi ya wagombea wanaotaka kuongoza nchi kwa kumwaga...
Kwa maoni yangu operations za kuondoa machinga zimepitiliza japo msingi wake wake ulikuwa mzuri tu kupanga miji visuri.
Hakuna haja ya kuondoa machinga wote mji mzima iliapaswa kuishia maeneno...
Hakuna asiyejua kuwa uwepo wa wale wanawake 19 bungeni, wakidai wanawakilisha Chadema, wapo kwa mbeleko ya chama tawala.
Kwa taarifa za tokea wakati ule, ni kwamba dada mkubwa sauti ya zege ndiye...
Wakati Tanzania inaadhimisha uhuru wa Tanganyika unaotimiza miaka 60 9 Disemba, 2021, kumekuwa na kupooza kiasi kwamba mitaani, viwanjani na kwenye majukwaa hakuna dalili za kuashiria shamrashamra...
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali Kwa kutusambazia maji katika eneo leo. Pamoja na Nia njema ya Serikali kutupatia maji. Baadhi ya watendaji wa Dawasco wamekuwa wakikwamisha juhudi za Serikali...
Assalam aleykum wana JF, bwana Yesu asifiwe! Natumaini mnajiandaa na mapumziko mema ya mwisho wa wiki popote mlipo.
Mimi na Watanzania wenzangu wengi sikuwa na uhakika na uteuzi wa bodi ya...
Masoko ya chakula nchini yamekuwa katika hali ya uchakavu na uchafu hivyo kuhatarisha afya za watumiaji wa huduma za masoko hayo hususani wanawake ambao ndio watumiaji wakubwa wa huduma hii. Hii...
Waslaam wakubwa
Naomba nianze na swali la msingi ambalo limekuwa sehemu ya mjadala. JSerikali ya awamu ya Tano ni nini au ni nani?
Swali la serikali ni nini? bila shaka huu ni mfumo wa utawala...
Katika viongozi wachache tuliyobaki nao katika kujenga hoja na kuwa mkweli ni Jenerali Ulimwengu.
Hotuba nyingi za mwanasiasa huyo inanikumbusha jinsi Mwalimu Nyerere alivyokuwa akitoa hoja...
Kwanini Gesi inayo zalishwa Tanzania kwasasa isitumike kwenye Magari ??,
Tanzania tukiamu kwenye hili tutajigemea kwa kiasi kikubwa katika nishati ya usafirishaji (Transportation fuel)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.