Bosi wa benki ya dunia kuja kuonana na Rais Samia

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
69
341
Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia.

Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila kupepesa maneno, tunaona kabisa lilipwaya katika kipindi cha miaka sita iliyopita.

#MamaYukokazini

download.jpg
 
View attachment 2008109
Aisee kwa hiyo tutaanza kuokota mapesa barabarani wacha wee
 
Bank ya Dunia haina mambo ya diplomasia, wb wanaikopesha hadi korea kaskazini iliyojaa udikteta.

Wao wb wanachotafta ni biashara hakuna mahusiano eti siju diplomasia. Hizo ngonjera za kusifia sifia wadanganyeji mataahira wenzenu.

Wb ilikua inaikopesha Zaire chini ya Mobutu miaka yote ya utawala wake, hapo kulikua na diplomasia na haki za binadamu? Wb wameikopesha serikali ya Chile chini ya dikteta Augostino Pinochet miaka yake yote ya utawala, njoo Nicaragua, Burma, Nigeria, South Afrika chini ya Boers nk.

Usidanganywe kwamba wb wanaangalia demokrasia ama sijui diplomasia. Vijana mjitahidi kusoma na kua na maarifa ya kutosha kabla hamjakubali kulipwa elfu 10 kushinda mitandaoni mnasifia ujinga.
 
Bank ya Dunia haina mambo ya diplomasia, wb wanaikopesha hadi korea kaskazini iliyojaa udikteta.

Wao wb wanachotafta ni biashara hakuna mahusiano eti siju diplomasia. Hizo ngonjera za kusifia sifia wadanganyeji mataahira wengine.
Really? You need to revisit your sources. Sudan tu baada ya mapinduzi ya kijeshi wametishiwa kusitishiwa mikopo/misaada.
 
Ukishazijua tabia za binadamu uwezi sumbua kichwa.

Wapole, wakorofi, roho mbaya, wanafiki and so on; kila kundi tabia zao zinafanana popote walipo duniani.

Sifa za mnafiki ni kujihami pale anapoboronga, na kuamisha lawama kwa wengine ili yeye aonekane mwema.

Siku zote anaenza kujijitea chukulia upande wake robo story upande wa pili ndio una robo tatu kamili ya story yenyewe na mara nyingi uto upata upande wa pili kama muhusika ni mstaarabu wengi awaonagi sababu za kujitetea kwa mambo ambayo hayana impact kwenye maisha yao.

Hizi habari za Magufuli kakopa sana siku za karibuni wengine tulishajua hali ni tete ni hatua za kujihami mabeberu ya IMF/WD yashapiga hodi.

Ata kama hawajui mgeni anakuja kwa nia njema au mbaya; hatua ya kwanza ni kujihami kwa mtu mnafiki kutokana na mapungufu yake (sijasema mama mnafiki, ila washauri wabovu aliopewa).
 
Ukishawajua tabia za binadamu uwezi sumbua kichwa.

Wapole, wakorofi, roho mbaya, wanafiki and so on; kila kundi tabia zao zinafanana popote walipo duniani.

Sifa za mnafiki ni kujihami pale anapoboronga, na kuamisha lawama kwa wengine ili yeye aonekane yeye mwema.

Siku zote anaenza kujijitea chukulia upande wake robo story upande wa pili ndio ina una robo tatu na mara nyingi uto upata upande wa pili kama muhusika ni mstaarabu.

Hizi habari za Magufuli kakopa sana siku za karibuni wengine tulishajua hali ni tete ni hatua za kujihami mabeberu ya IMF/WD yashapiga hodi.
Kwa hiyo bwana Kilaza unatuambiaje hapa tunatekwa nyara ama!!?
 
Really? You need to revisit your sources. Sudan tu baada ya mapinduzi ya kijeshi wametishiwa kusitishiwa mikopo/misaada.

Wb zimefadhili nchi nyingi tu za kidikteta ikiwemo Chile, Zaire chini yaa Mobutu, Nicaragua nk.

Usidanganywe kwamba wb wanaangalia demokrasia tu, utapotea.
 
Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia.

Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila kupepesa maneno, tunaona kabisa lilipwaya katika kipindi cha miaka sita iliyopita.

#MamaYukokazini

View attachment 2008109
Yaani kwa hizi ziara ziara yajayo yanafurahisha!
Wenye akili na mikakati watanufaika Ila wavivu kufikiri, rohombaya, wivu na wenye elimu hasi hawachelewi kuwaita mafisadi!

NB: Duniani kuna vingi... Connections ndo nguzo!
 
Wb zimefadhili nchi nyingi tu za kidikteta ikiwemo Chile, Zaire chini yaa Mobutu, Nicaragua nk.

Usidanganywe kwamba wb wanaangalia demokrasia tu, utapotea.
Umemfahama sawa sawamwenye
Screenshot_20211112-183818.jpg
hiyo article? Committee for Abolition of Illegitimate aid/loan?
 
Bosi wa Benki ya Dunia (Managing Director of Development and Partenership), Raia wa Indonesia, Maria Pangestu, anatarajiwa kuja #Tanzania wiki ijayo. Ni katika jitihada za Rais Samia Suluhu kutuimarisha kidiplomasia.

Rais Samia anafanya kazi nzuri sana katika eneo la Diplomasia ambalo bila kupepesa maneno, tunaona kabisa lilipwaya katika kipindi cha miaka sita iliyopita.

#MamaYukokazini

View attachment 2008109
Anakuja kudai chao, hawajalipa deni mwezi wa tatu
 
Mama Samia asiwaendekeze hawa mabeberu hawana nia njema na sisi.
 
Sijakataa kwamba haija suspend ila nilichotaka kukuonyesha kwamba wb wana utamaduni wa kufadhili madikteta miaka na miaka, hiyo ya Sudan isikufanye uahindwe kujua tabia zao.
Taarifa ulizo nazo siyo sahihi. WB hawatoi mkopo kwa kila nchi isipokuwa kama hiyo nchi inafikia viwango vya lazima ambavyo ni pamoja na kuzingatia ustawi wa maisha ya raia.

Utawala wa marehemu Magufuli, mwanzoni ulikubaliwa kypewa mkopo toka WB kwaajili ya ujenzi wa barabara pana toka Dar mpaka Chalinze lakini baada ya kuwabomolea watu nyumba na kugoma kuwalipa fidia, WB ilifuta mkopo ambapo tayari ulikuwa umekubaliwa.
 
Back
Top Bottom