Kesi ya Mbowe: Panapo Majaliwa Tuwape Taarifa Mawakili Wetu

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,825
35,827
Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu.

Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki.

Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu sana. Heshima kubwa kwao.

Heshima kwenu pia nyote mnaotoa michango yoyote ya hali na mali zikiwamo taarifa.

"Prof. Jay - kazi na iendelee."

Yapo mawazo mengi:

IMG_20211113_111659_954.jpg


IMG_20211113_105929_311.jpg


"... kwenu mawakili wetu wasomi kama itawapendeza."

Mapingamizi yenu ni ya msingi:

IMG_20211113_104717_528.jpg


Chonde chonde wandugu, lisiachwe jiwe juu ya jiwe.
--------

Detention Register: Jaji Tiganga yuko Majaribuni - Kiza Kinene

Credit kwako S.M.P2503
 
Ifahamike kuwa hatuna taabu Mh. Mbowe na wenziwe kuhukumiwa kama kweli ni wahalifu.

Hata hivyo ifahamike kuwa haikubaliki kuwabambikizia kesi na hukumu zisizokuwa za haki.

Inafahamika kuwa Mawakili wetu wanafanya kazi kubwa katika mazingira magumu.

Heshima kwenu nyote mnaotoa michango yoyote ya hali na mali zikiwamo taarifa.

"Prof. Jay - kazi na iendelee."

Yapo mawazo mengi:

View attachment 2008864

View attachment 2008854
------------
Kwenu mawakili wetu wasomi kama itawapendeza.

Mapingamizi yenu ni ya msingi:

View attachment 2008863

Chonde chonde wandugu, lisiachwe jiwe juu ya jiwe.
--------

Detention Register: Jaji Tiganga yuko Majaribuni - Kiza Kinene

Credit kwako S.M.P2503
Jhimbombo jinkhaaafu
 
Haki, uhuru na maisha ya Mh. Mbowe, Adamoo, Bwire, Ling'wenya, Lijenje na wote wanaoteseka kwa dhuluma kama hizi ni vipaumbele kwetu kuliko vyote kwa sasa.
Amina na tuuunganishe nguvu zetu kwa maombi
 
Hamjaielewa serikali!mjue wanamchelewesha Mbowe kudai katiba mpya!pia wanapoteza muda wa CHADEMA KUFANYA SIASA ZAKE NCHINI!!!
Wanamchelewa wapi ndugu, ni kama vile wanampiga teke chura na kumuongezea speed na umaarufu. Wangemuacha tu. Watabana lakini watamwachia tu...
 
Back
Top Bottom