Chadema wamekomaa wana utulivu wa kisiasa, enzi za Mchungaji Mtikila au CUF ngangari Mahakamani pasingetosha!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,879
Najikumbusha tu enzi zile pale Kisutu na zile kesi za Mtikila za kuwaita waasia " magabachori"

Mahakama ilikuwa ndogo kwa kweli na Mtikila rip alionekana kama shujaa wa taifa huku wakili wake akiwa Mabere Marando wa Nccr mageuzi.

Chadema wana uvumilivu wa kisiasa.

Sabato njema!
 
Akili umezisahau kibaigwa kwa subwoofer
 
Najikumbusha tu enzi zile pale Kisutu na zile kesi za Mtikila za kuwaita waasia " magabachori"

Mahakama ilikuwa ndogo kwa kweli na Mtikila rip alionekana kama shujaa wa taifa huku wakili wake akiwa Mabere Marando wa Nccr mageuzi.

Chadema wana uvumilivu wa kisiasa.

Sabato njema!
TISS wameanzisha provocative case wakawakabidhi Polisi ili CHADEMA wakireact mahakamani ionekane Chama cha vurugu kifutwe. Watu wamejibu kwa vifungu vya sheria, huko Mahakamani Mgambo wanaruka na kukanyagana. NACTE juzi wamefuta matokeo baada ya wanafunzi kyungia na madesa kwenye mitihani waliyosambaziana kwa simu. Jana shahidi kaingia mahakamani na simu yenye ushahidi wa kubumba na kama haitoshi kanakiri alichokaririshwa kwenye Note book. Tunasubiri kuona NACTE ya sheria (Mahakamani) itafuta matokeo au itabriki KUDESA?
 
Back
Top Bottom