Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Natumai thread hii inakukuta ukiwa mzima wa afya kabisa. Tukirudi kwenye mada husika, kama walivyo wananchi wengine, nimekuwa mfuatiliaji mzuri wa hii kesi. Mwanzoni wakati nasoma mwenendo wa...
24 Reactions
20 Replies
3K Views
Tuelekee moja kwa moja kwenye swali la msingi. Miaka ile bunge lilipokuwa limechangamka ndipo yakaibuliwa maovu ya serikali watu walikuwa wanaahirisha shughuli zao wanafuatilia bunge. Leo hii...
17 Reactions
113 Replies
7K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Sera na Ubia katika Benki ya Dunia (WB) Prof. Mari Pangestu, wakati Mkurugenzi...
0 Reactions
1 Replies
804 Views
Mambo yanakwenda kasi sana na kwa kweli huu uhaba wa mvua unaweza kuleta tafrani za kisiasa kwa sababu baadhi ya viongozi wetu ni waoga wa kusema ukweli. Jana nimesikia kwa mkurugenzi wa Dawasa...
0 Reactions
4 Replies
717 Views
Kuna wakati kulitokea kashfa ya Nyufa nene sana kwenye Hostel mpya za Chuo Kikuu cha Dar es salaam , nyufa zile zilisababisha wazazi wengi kukataa kupeleka watoto wao kwenye hostel zile, Sasa ili...
21 Reactions
35 Replies
3K Views
1. Msiwe Mazuzu ( Majuha ) 2. Acheni Vitisho na Ubabe 3. Tubuni Dhambi zenu nyingi kwa Mola 4. Acheni kuwa Wanafiki Waandamizi 5. Tambueni ufahamu mkubwa wa Watanzania wa leo 6. Muhubirini...
12 Reactions
35 Replies
4K Views
Habarini wadau. Nimejaribu kupitia juu ya miradi inayoendelea wilaya Mbinga na Songwe. Kama Tanzania nzima ndio inatekelezwa kwa utaratibu wa namna hiyo lazima basi uzalendo wetu upo kwenye...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM. Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya. Halafu...
8 Reactions
31 Replies
2K Views
Rais wetu tunampenda sana, na kwa muda mfupi amechapa kazi sana tena iliyotukuka. Ila kama ilivyoada kwa binadamu wote, ukifanya sana kazi kuna wakati unachoka na mwili unahitaji mapumziko ya...
8 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu NI mtego mkubwa Sana kwa Jamuhuli na Serikali na mihimili yake. Nachojua kesi hii inatumika kuionesha dunia Jinsi Mahakama zetu zilivyo huru au hovyo. Sijui kwanini Jaji hakutaka pande zote...
11 Reactions
38 Replies
4K Views
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi...
3 Reactions
89 Replies
8K Views
Kutokana na mkopo wa masharti nafuu uliotolewa na IMF wa trillion 1.3, Rasi Samia anakwenda kukusanya Kodi ya moja kwa moja waastani wa billion 234 kama VAT (18%) hadi billion 390 kama tender...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwenye report ya hesabu ya robo ya tatu ya Vodacom wamekiri kua mwanzoni mwa mwaka hali ilikua nzuri ila baada ya ujio wa tozo, wateja wa MPESA zaidi ya milioni 1.3 wameacha kabisa kutumia huduma...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Kiuhalisia inaonyesha taifa la kenya lina wanasiasa wengi wa mrengo wa upinzani wenye nguvu na wa kuaminika, na wenye uwezo wa kutikisa siasa za nchi. Yapo majina mengi mazitomazito kama vile...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi...
0 Reactions
9 Replies
963 Views
Rais Samia leo akiwa amevalia nguo za kijeshi amehudhuria ufunguzi wa kikao cha mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Lugalo, Dar es Salaam. Rais Samia anatarajiwa kuhutubia kwenye kikao hicho. ===== Rais...
16 Reactions
136 Replies
18K Views
Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua...
7 Reactions
109 Replies
7K Views
Kama alivyotamka Jaji kwenye kupita pingamizi la upande wa utetezi kwenye kesi ya Mbowe, unaona Jaji yuko sahihi?
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya...
33 Reactions
212 Replies
19K Views
Accusing a witness of “lying.” The older lawyers also taught me that I must never directly accuse a witness or a party of “lying” while I was questioning them. Yet every week I hear lawyers doing...
11 Reactions
163 Replies
11K Views
Back
Top Bottom