Ianzishwe Wizara ya Mafuta na Gesi ili kuchochea ukuaji wa sekta ya Mafuta na Gesi Tanzania na kuipunguzia mzigo wizara ya Nishati

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,312
8,213
Hii wizara iwe responsible kwenye mambo ya utafutaji (exploration), uzalishaji (production), usafishaji (refining), usambazaji (distribution), uuzaji (marketing), kuingizaji kutoka nje ya nchi (import), na utoaji kwenda nje ya nchi (export), pamoja na conservation of petroleum, natural gas, petroleum products, and liquefied natural gas Tanzania.

Maeneo muhimu ambayo ningependa hii wizara ihusike nayo ni haya yafuatayo.

1. Exploration and exploitation of petroleum resources, including natural gas (methane, helium)

2. Production, supply distribution, marketing and pricing of petroleum including natural gas and petroleum products.

3. Oil refineries, including Lube plants and natural gas plants.

4. Natural gas utilization to get valuable products.

5. Additives for petroleum and petroleum products.

6. Lube blending and greases.

7. Planning, development and control of, and assistance to all industries dealt with by the Ministry.

8. Planning, development and regulation of gasfield and oilfield services.

9. Administration of various Central laws relating to Petroleum and Natural Gas.

Ningependa wizara ya nishati igawanywe mara mbili kuwa wizara hiyo ya mafuta na gesi na wizara ya umeme ambayo ishughurikie mambo ya kuzalisha, kusambaza na kuuza umeme.

Wizara ya umeme ishughurikie uzalishaji wa umeme kutoka vyanzo mbalimbali mfano maji, gesi, joto ardhi, upepo, jua, mawimbi ya bahari n.k.

Huo ndio ushauri wangu,

Ninahisi ikiwa hivi tutaipunguzia wizara ya nishati mzigo, na tutaongeza ufanisi na ukuaji katika sekta ya mafuta na gesi Tanzania.

Karibuni kwa maoni.
 
Wazo zuri. Hili naliandika ktk diary yangu. Nitagombea Ueais 2025 tukiwa hai. Nikishinda urais nitaanzisha wizara hii.

Moja ya Sera ktk chama nitakachogombea kitafata Serikali ya majimbo 10 yatakayopewa mamlaka zaidi ya kujiamulia mambo yao wenyewe sawa na mamlaka yaliyopo jimbo la Zanzibar ktk mfumi wa serikali ya ccm.

Na majmbi hayo 10 tutayapa mamlaka zaidi ya jimbo LA znz
 
Wazo zuri. Hili naliandika ktk diary yangu. Nitagombea Ueais 2025 tukiwa hai. Nikishinda urais nitaanzisha wizara hii.

Moja ya Sera ktk chama nitakachogombea kitafata Serikali ya majimbo 10 yatakayopewa mamlaka zaidi ya kujiamulia mambo yao wenyewe sawa na mamlaka yaliyopo jimbo la Zanzibar ktk mfumi wa serikali ya ccm.

Na majmbi hayo 10 tutayapa mamlaka zaidi ya jimbo LA znz
😃😃
 
Back
Top Bottom