Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sioni shida kujitokeza na kusema ile ada yetu ya kulindana tusiiache, sasa kumekuwa na msukumo wa watu wasiojulikana kutaka au kuwafikisha mahakamani wenzetu ambao wakati ulee walikuwa ndio...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Binafsi nimeshuhudia ubaguzi wakati wa Utawala wa Mwalimu Nyerere dhidi yetu Watanzania weusi asilia mara nyingi sana mpaka siku Mzee Mwinyi alipoapishwa na kuondoa Ubaguzi mkubwa tuliokuwa...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Asalaam. Alekyum, BWANA. YESU KRISTO ATUKUZWE ! Nawasalimu wote na nnawatakia mapumziko mema ya mwisho wa wiki. MADA HII ITAONEKANA KAMA YA KIIMANI ZAIDI, LAKINI HEBU VUTA SUBIRA UISOME KWANZA...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakati akiweka jiwe la msingi miradi ya ujenzi wa nyumba za shirika la nyumba la Taifa Prof. Anna Tibaijuka amesema wameiomba serikali ipunguze kodi kwenye vifaa vya ujenzi ili shirika hilo liweze...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
CCM narudia Tena CCM hii chuki inayotamalaki italiangamiza Taifa. Haya tuyashuhudiayo katika shughuli za uchukuaji na urejeshwaji fomu za Serikali ya Mitaa inahuzunisha sana. Basi sawa lakini...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Waswahili walimenya kwamba mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Huu ndiyo ukweli wenyewe kwamba Mama anajitahidi tu kusimamia kua katika utawala wake haki inatendeka. Ikitokea wewe...
1 Reactions
37 Replies
2K Views
Mojawapo ya vitu vilivyochangia amani na utulivu wa Tanzania ni pamoja na kuongozwa na maraisi wanaotoka makabila madogo. Nyerere alikuwa anatoka kabila dogo sana la wazanaki na aliongoza nchi...
0 Reactions
76 Replies
12K Views
Tanesco Director General explains frequent power cuts FRIDAY NOVEMBER 05 2021 A Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) technician at work. Tanesco director general Maharage Chande has blamed...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na...
30 Reactions
67 Replies
7K Views
Kuna kada mmoja wa CCM amemponda Jenerali Ulimwengu kwa kueleza kwamba kupiga picha na viongozi waliopigania uhuru siyo sifa bali ni ushamba. Niseme tu wakati ule kuwakaribia tu viongozi wa...
13 Reactions
47 Replies
4K Views
Vikwazo vya kiuchumi si tatizo Sana kwa bilionea Paul, vikwazo vya madaraka ni kikwazo kikubwa kufikia ndoto zake hapa Duniani. Upo mkwamo ndani yake na Hana budi kuvuka vinginevyo mkwamo huu...
11 Reactions
55 Replies
7K Views
Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale...
1 Reactions
3 Replies
989 Views
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa wote nchini na hasa wale wa mipakani kutozuia mbolea inayoingia nchini kwa sababu yoyote ile. Mh Majaliwa amesema kuna uhaba wa mbolea na huu ni...
0 Reactions
3 Replies
708 Views
Inapotokea kikao cha Jumuia ya Afrika Mashariki kikahudhuriwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu, halafu ikulu ikatoa taarifa kuwa ni Rais Magufuli ndiye alyeshiriki kikao hicho, Je, Hii si ishara...
27 Reactions
138 Replies
18K Views
"WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli)...
1 Reactions
53 Replies
10K Views
Anaandika Mkt wa CCM mkoa wa Mwanza Dkt Antony Diallo, MAFANIKIO YA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE. === 1. TAZARA (SGR ya kwanza Afrika Mashariki na kati) aliijenga na Mwenzie Kaunda...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan anapokea kifimbo cha malkia wa Uingereza Ikulu jijini Dar es salaam kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola. Tukio liko mubashara TBC na Channel ten --- Rais...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM. Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe...
8 Reactions
79 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe. Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya...
45 Reactions
388 Replies
52K Views
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uratibu wa Kanda makao makuu ya Chadema, Bwana Benson Kigaila amewaambia mamia ya wakazi wa Singida waliokusanyika kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Pipoos Singida...
1 Reactions
49 Replies
10K Views
Back
Top Bottom