Wabunge CCM siwatishi lakini tusilaumiane

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM.

Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya.

Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe ACT, wawe CHADEMA, CUF nk kama watakashinda kwa haki tutawapa ubunge.

Trillion 1.3 mko kimya

Ujenzi wa madarasa, zahanati, hospitali kila kombo mko kimya

Mabilioni ya misaada kutoka nchi wahisani mko kimya

Kupanga wa machinga mko kimya

Sasa endeleeni kufurahia ka mwisho mwisho

Chanjo ya korona mko kimya

Kila mtu atasimama na hesabu yake itasomwa endeleeni kukaa kimya wabunge
Tusilaumiane
 
Serikali inaboresha miundombinu ili kuleta suluhisho la kudumu
Kwa mujibu wa Taarifa ya tanesco mgao maeneo mengi unaisha wiki hii kuanzia kesho hadi ijumaa
KWA YANAYOENDELEA NCHI HII INAONEKANA KAMA SERIKALI KUFANYA MAMBO YA KIMAENDELEO NI KAMA WANAFANYA HISANI KWETU,HAWAJUI NI MATUMIZI YA KODI ZETU

UMEME NAO TANESCO WANATUGAWIA KAMA VILE TUNAPEWA MSAADA
 
Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM.

Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya.

Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe ACT, wawe CHADEMA, CUF nk kama watakashinda kwa haki tutawapa ubunge.

Trillion 1.3 mko kimya

Ujenzi wa madarasa, zahanati, hospitali kila kombo mko kimya

Mabilioni ya misaada kutoka nchi wahisani mko kimya

Kupanga wa machinga mko kimya

Sasa endeleeni kufurahia ka mwisho mwisho

Chanjo ya korona mko kimya

Kila mtu atasimama na hesabu yake itasomwa endeleeni kukaa kimya wabunge
Tusilaumiane
Hakika ccm kweli mmezoea kushikiwa fimbo kama farasi.

Inakuwaje muwalazimishe waanze kusifia sifia hata yasiyo hitaji kusifiwa?

Yaani mbunge na heshima yake asimame eti naipongeza serikali kwa kuweza kuomba omba mkopo!!!
 
Kweli kabisa, mambo mengi ya ovyo yanayoendelea Nchini wao wapo kimya kana kwamba hawaoni. Ole wao.
Wao aliye wapeleka bungeni tayari keshapiga mwendo hivyo hawaoni nini sababu ya kuhangaika na mambo ya dunia.
 
Sio kusifia ila miradi ya maendeleo inaendelea kwenye Majimbo yao hatuwasikii wakishukuru serikali
Unaanzaje kuishukuru serikali kisa imetekeleza miradi wakati huo ndio wajibu wake.

Mnalipishwa kodi ili ziende zikatekeleze hiyo miradi ya maendeleo alafu unasema unaisifu serikali kwa kutekeleza miradi wakati fedha ni mali yako?
 
90% hawana hata ndoto ya kurudi bungeni maana wanajua jinsi ubunge wao ulivyo patikana.
Wengi wana ndoto ila hawataki kuwajibbika
Serikali inapoleta ma billion jimboni kwako ni lazima ufafanue kwa wananchi ubunge sio kuchukua mkopo wa V8 tuu
 
Unaanzaje kuishukuru serikali kisa imetekeleza miradi wakati huo ndio wajibu wake.

Mnalipishwa kodi ili ziende zikatekeleze hiyo miradi ya maendeleo alafu unasema unaisifu serikali kwa kutekeleza miradi wakati fedha ni mali yako?
Baba ni wajibu wake kukuletea chakula lakini lazima useme Asante
 
Ni heri kusema unaisifu au kuishukuru serikali kwa kuleta maendeleo au kutenda jambo Fulani,kichefu kichefu unakuta kiongozi anasimama jukwani eti eti rais Samia Suluhu Hassan Katia kiasi Fulani kana mwamba kazitoa mfukoni mwake,ni ujuha na kujipendekeza kulikopitiliza
 
Wabunge CCM msiofata matakwa ya mwenyekiti, siku zinakuja ambapo kila jina litasomwa mbele ya mwenyekiti wa CCM.

Niwakumbushe tuu msipofanya kazi zenu wakuu wa mikoa na wilaya watafanya.

Halafu bunge lijalo hatuhitaji upinzani ndani ya Chama kama hivi sasa hivyo wapinzani wanaostahili wawe ACT, wawe CHADEMA, CUF nk kama watakashinda kwa haki tutawapa ubunge.

Trillion 1.3 mko kimya

Ujenzi wa madarasa, zahanati, hospitali kila kombo mko kimya

Mabilioni ya misaada kutoka nchi wahisani mko kimya

Kupanga wa machinga mko kimya

Sasa endeleeni kufurahia ka mwisho mwisho

Chanjo ya korona mko kimya

Kila mtu atasimama na hesabu yake itasomwa endeleeni kukaa kimya wabunge
Tusilaumiane
Umewashtua
 
Back
Top Bottom