Rais Samia, azungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Sera na Ubia katika Benki ya Dunia (WB) Prof. Mari Pangestu

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,810
11,977
3.jpg
5.jpg
6.jpg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Sera na Ubia katika Benki ya Dunia (WB) Prof. Mari Pangestu, wakati Mkurugenzi Pangestu alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam leo tarehe 15 Novemba, 2021.
1.jpg
2.jpg
4.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Sera na Ubia katika Benki ya Dunia (WB) Prof. Mari Pangestu, wakati Mkurugenzi Pangestu alipofika Ikulu, Jijini Dar es Salaam tarehe 15 Novemba, 2021.

PICHA NA IKULU.
 
Back
Top Bottom