Rais Samia kukuza uchumi kwa kasi kuliko kipindi cha miaka mitano iliyopita

Ngungenge

JF-Expert Member
Jun 11, 2016
2,863
3,190
Kutokana na mkopo wa masharti nafuu uliotolewa na IMF wa trillion 1.3, Rasi Samia anakwenda kukusanya Kodi ya moja kwa moja waastani wa billion 234 kama VAT (18%) hadi billion 390 kama tender zitasambazwa kea Makampuni makubwa ambao watalipia corporate tax ya 30% lakini pia billion 910 inayobaki kwenye Mzunguko itaweza kuongeza mapato kutokana na multiply effect ndani ya muda mmfupi.

TRA wanatarajiwa kukusanya wastani wa Trillion 1.5 hadi 1.7 kwa kipindi cha Miezi mitano mfululizo kutokana na Mzunguko wa 1.3 trillion katika uchumi

Kutokana na Royal tour aliyoifanya Rais Rais anakwenda kukusanya kodi ya ongezeko la trillion 5.6 hadi trillion 6.2 kwa mwaka huu.

Kutokana na diplomasia ya kiuchumi Rais Samia anakwenda kuongeza FDIs na FCIs, kutoka Dolan billion 1.013 hadi Dolan billion 2 kwa mwaka wa huu wa fedha.

Kimsingi uchumi wa tanzania utaimarika zaidi na zaidi kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote katika kipindi cha miaka 5 iliyopita huku ajira kemkem zikitolewa kwa vijana.

Nani kama Rasi Samia
 
Hakuna kama Samia
 
Kwa hili la pesa za Corona mama kapiga bao la mkono. Huwezi amini kuna nchi zilipata pesa kama hiyo zikaishia kwenye lockdown na barakoa
 
Kutokana na mkopo wa masharti nafuu uliotolewa na IMF wa trillion 1.3, Rasi Samia anakwenda kukusanya Kodi ya moja kwa moja waastani wa billion 234 kama VAT (18%) hadi billion 390 kama tender zitasambazwa kea Makampuni makubwa ambao watalipia corporate tax ya 30% lakini pia billion 910 inayobaki kwenye Mzunguko itaweza kuongeza mapato kutokana na multiply effect ndani ya muda mmfupi.

TRA wanatarajiwa kukusanya wastani wa Trillion 1.5 hadi 1.7 kwa kipindi cha Miezi mitano mfululizo kutokana na Mzunguko wa 1.3 trillion katika uchumi

Kutokana na Royal tour aliyoifanya Rais Rais anakwenda kukusanya kodi ya ongezeko la trillion 5.6 hadi trillion 6.2 kwa mwaka huu.

Kutokana na diplomasia ya kiuchumi Rais Samia anakwenda kuongeza FDIs na FCIs, kutoka Dolan billion 1.013 hadi Dolan billion 2 kwa mwaka wa huu wa fedha.

Kimsingi uchumi wa tanzania utaimarika zaidi na zaidi kipindi hiki kuliko wakati mwingine wowote katika kipindi cha miaka 5 iliyopita huku ajira kemkem zikitolewa kwa vijana.

Nani kama Rasi Samia
😍😍
 
Chifu mkuu Hangaya 💪😍
2919120_IMG-20210908-WA0048.jpg
 
Viva Samia Viva
 
Jamii Forum wekeni Jukwaa lasm la kuandika habar za Samia. Mtu anayependa kuzisoma awe anafungua mwenyewe. Kuna watu wengine tunataman ata siku,wk,mwz viishe bila kusikia habari zake.
 
Siukaangalie "Sports " au Celebrities
 
Back
Top Bottom