Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hivi kwanini hawakumkagua na kujirisha kabla kuwa shaidi kwa namna yoyote asifanye kitu kitakachoharibu ushaidi. Kwasababu. 1. Mawakili wanajua NI kosa kupanda Kizimbani na simu. Na wanajua...
7 Reactions
109 Replies
7K Views
Kama alivyotamka Jaji kwenye kupita pingamizi la upande wa utetezi kwenye kesi ya Mbowe, unaona Jaji yuko sahihi?
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa wale wa CHADEMA iliyokataliwa na Watanzania nawashauri wafuatilie kinachoendelea Ethiopia. Sera za majimbo alizokua anazipigia chapuo Lissu ndio hizo huko Ethiopia zimesababisha serikali ya...
33 Reactions
212 Replies
19K Views
Accusing a witness of “lying.” The older lawyers also taught me that I must never directly accuse a witness or a party of “lying” while I was questioning them. Yet every week I hear lawyers doing...
11 Reactions
163 Replies
11K Views
1. Ujinga uliochanganyika na Upumbavu. 2. Elimu mbovu na inayozalisha Mazuzu wengi na Ajira kuwa Janga la Kitaifa. 3. Umeme usio na uhakika nchini. 4. Kutopatikana Maji kwa Wananchi. 5...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Mgodi wa Katente ni miongoni mwa migodi iliyokuwa imetoa ajira nyingi kwa vijana waliopo wilaya ya Bukombe. Na kwa namna moja au nyingine ulichangia pato la halmashauri pato kubwa sanaa. Kwa nn...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimeona blog ikimnukuu Pombe kuwa mgao wa umeme ni deal za viongozi wa upinzani. Mimi naona kutuambia hivi sisi wananchi tunaemsikiliza, hatutendei haki. Sasa Simbachawene alisema maji yamepungua...
4 Reactions
127 Replies
15K Views
Baadhi ya walimu wa mkoa wa Dar es salaam wameonesha kushtushwa na taarifa zisizo rasmi kuwa mkuu wa mkoa mstaafu Paul Makonda atashtakiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka. Waalimu hao wamedai...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kama ilivyo kawaida, kufanya tafakuri ya mambo yale mtu anayoyasikia maredioni na magazetini kuhusu yanayoendelea kwenye siasa za nchi mbalimbali. basi nami nimejikuta...
34 Reactions
219 Replies
12K Views
Kuna video inasambazwa ikionesha Rais na Amiri Jeshi Mkuu kuyumba kidogo. Wengi wanaopost video hiyo wanatia chumvi ionekane kwamba Amiri Jeshi Mkuu ana shida ya kiafya. Majibu kutoka Jeshini...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
WAZIRI UMMY MWALIMU AWAPONGEZA VIONGOZI HALMASHAURI YA TEMEKE Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Ummy Mwalimu amewapongeza viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
803 Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza kabla ya uchaguzi wa 2015 ilikuwa kawaida sana kwa CHADEMA kupokea mamia ya wanaccm waliokuwa wakieleza wazi kuwa aidha wameichoka CCM au wamevutiwa na...
0 Reactions
7 Replies
877 Views
"Magufuli kafa kwa hiyo hali imerejea kama kawaida.Kwani maji mnayaona tena?" "Magufuli kafa umeme mmeona haupo tena.Kwani Kipindi cha Magufuli umeme ulikuwa unakatika hivi?" "Magufuli kafa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi imetupilia mbali pingamizi lililowekwa na mawakili wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Huwa ni kwa vile watu ni wagumu sana kuelewa. Vision ya Rais Dkt. Magufuli ni kuipeleka Tanzania mbele kupitia njia waliyopita Singapore. Singapore walikuwa masikini mara 3 ya Tanzania ya leo...
12 Reactions
79 Replies
7K Views
Kufuatia mapigano ya Tigray ya TPLF na vikosi vya serikali kuelekea kuwa vita ya wenyewe kwa wenyewe wakati wowote kuanzia sasa, namshauri Rais Mstaafu Gen. Obasanjo ambaye ni mpatanishi wa...
12 Reactions
59 Replies
3K Views
Wabunge wa majimbo ya uchaguzi 2020 - 2025 wengi wao hawatarejea bungeni kwa sababu wamechagua kupata pesa kuliko kuwatetea wananchi. Hivi leo hii kwa nyakati hizi za bila umeme na maji enzi za...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya ziwa Nyasa mchungaji Msigwa ametangaza nia ya kugombea urais wa JMT mwaka 2025 kwa tiketi ya chama chake Mungu ni mwema wakati wote!
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Hii nchi ilikuwa imetumbukizwa katika shimo refu sana la Ukabila na kuabudu mtu (binadamu). Wanaomtusi makamba aidha ni wasukuma au waabudu watu ambao waliamini Tz ni Magufuli na Magufuli ni Tz...
14 Reactions
93 Replies
5K Views
Kulikuwa na kizungumkuti gani na kigugumizi gani kwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Magufuli (deceased) kutotekeleza kwa 100% ripoti ya Tume ya chama ya Bashiru Ally? Je, kutotekeleza ripoti hiyo...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom