Mzee Wassira awataka Vijana kuhoji masuala kwani kunyamaza ni unafiki

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
8,011
16,748
Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii.

Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini miaka mingi, ametumika sana Kuandika ILANI ya Chama cha CCM na anajua vyema Siasa anataka 'Wakosoaji Werevu' akina KEROZENE na wengineo kamwe tusinyamaze Wewe ( Nyie ) ni nani mpaka mtuzuie na mtutishe hadi Kututanguliza mapema Makaburini tukalale Usingizi wa Milele?

Ngoja sasa KEROZENE nijiandae kuangalia Hafla ya UWT ( kupitia TBC1 na ZBC ) huko Zanzibar wakiwa Wanampamba na Kumpongeza Mama wa Taifa kwa Kutuongoza kama Mwanamke, Kusafiri nje ya nchi kwa muda mfupi, Kukopa sana WB na IMF na Kuturejeshea Watanzania Furaha tuliyoisahau kwa muda mrefu ya Mgawo wa Maji na Umeme Tanzania.
 
Mama amekuja kutibu majeraa yote ya umeme na maji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii.

Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini miaka mingi, ametumika sana Kuandika ILANI ya Chama cha CCM na anajua vyema Siasa anataka 'Wakosoaji Werevu' akina KEROZENE na wengineo kamwe tusinyamaze Wewe ( Nyie ) ni nani mpaka mtuzuie na mtutishe hadi Kututanguliza mapema Makaburini tukalale Usingizi wa Milele?

Ngoja sasa KEROZENE nijiandae kuangalia Hafla ya UWT ( kupitia TBC1 na ZBC ) huko Zanzibar wakiwa Wanampamba na Kumpongeza Mama wa Taifa kwa Kutuongoza kama Mwanamke, Kusafiri nje ya nchi kwa muda mfupi, Kukopa sana WB na IMF na Kuturejeshea Watanzania Furaha tuliyoisahau kwa muda mrefu ya Mgawo wa Maji na Umeme Tanzania.
Wachache sana watakuelewa
 
Kwenye ishu ya mgao wa maji na umeme tunamwonea. Sababu kubwa ni UKAME
Huu ni UONGO mkubwa!nchi ina 3 big fresh water lakes !ukame utoke wapi?na tumejaliwa kuwa na mito mingi tu yenye maji ya kutosha,tatizo letu unafiki umezidi na mipango yetu ni mibovu mno iliyojaa siasa na sio utaalamu,umeme ni muhimu tutafute umeme rafiki kwa mazingira,solar power,wind power ndio njia ya kwenda,kinachofanyika pale Selous Game reserve ni uharibifu wa nchi at its best.
 
Ndugu yangu hili ya mabadiliko ya hali ya hewa haliwezi kuwa kigezo cha kuwasamehe hao.

Tuliaminishwa kuwa umeme wa gesi ya mtwara ungeukuwa ni suluhisho la matatizo ya hii nishati lkn leo kiko wapi?

Matrilioni mangapi yalipigwa moto kwenye huo mradi wa bomba la mchina kutoka mtwara to dsm?

Hawatakiwi kutetewa hao ni lazima kama watanzania tuwakemee tu ingawa hawajali kitu.
 
Huu ni UONGO mkubwa!nchi ina 3 big fresh water lakes !ukame utoke wapi?na tumejaliwa kuwa na mito mingi tu yenye maji ya kutosha,tatizo letu unafiki umezidi na mipango yetu ni mibovu mno iliyojaa siasa na sio utaalamu,umeme ni muhimu tutafute umeme rafiki kwa mazingira,solar power,wind power ndio njia ya kwenda,kinachofanyika pale Selous Game reserve ni uharibifu wa nchi at its best.
1.umeme wa upepo pale singida.

Pale makambako.

3.pale same .

Hivi vyanzo tosha vya kupata umeme wa upepo badala ya kuharibu mazingira ya pale rugiji na kuua viumbe hai.

Kinacho onekana ni jinsi ya kupiga vya kutosha maana huko kwenye maupepo hakuna ulaji wa kutosha.
 
Wassira awataka Vijana Kuhoji Mambo ( Masuala ) kwani Kunyamaza ni Unafiki.

Taarifa: Gazeti la Nipashe la Leo hii.

Sasa kama Mzee Steven Wassira ( Kada Mkongwe ) na Mtu aliyehudumu Serikalini miaka mingi, ametumika sana Kuandika ILANI ya Chama cha CCM na anajua vyema Siasa anataka 'Wakosoaji Werevu' akina KEROZENE na wengineo kamwe tusinyamaze Wewe ( Nyie ) ni nani mpaka mtuzuie na mtutishe hadi Kututanguliza mapema Makaburini tukalale Usingizi wa Milele?

Ngoja sasa KEROZENE nijiandae kuangalia Hafla ya UWT ( kupitia TBC1 na ZBC ) huko Zanzibar wakiwa Wanampamba na Kumpongeza Mama wa Taifa kwa Kutuongoza kama Mwanamke, Kusafiri nje ya nchi kwa muda mfupi, Kukopa sana WB na IMF na Kuturejeshea Watanzania Furaha tuliyoisahau kwa muda mrefu ya Mgawo wa Maji na Umeme Tanzania.
Lazima tuelimishe na kuhoji
 
naona kama taifa tunakosa muelekeo.

sijui tunakoelekea.

Umeme hakuna uchumi mbovu,

Hakuna jitihada zozote za serikali kuhakikisha hili linakwisha.
 
Back
Top Bottom