Wanaomshangilia Makamba sasa hivi baadae watamgeuka na kumuacha peke yake, Magufuli ni kete ya ushindi wa CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
50,847
2,000
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia.

Na ukiwaangalia hawa washangiliaji wengi ni chumia tumbo na wako kimkakati.

Utakapokaribia uchaguzi mkuu ndipo mtakapoiona rangi halisi ya CCM kwa sababu kazi alizofanya hayati Magufuli ndizo zitatumika kuinadi CCM na hapo itakuwa hamna namna kwa January. Na kama akizubaa atakuwa ndiye mbuzi wa kafara.

Wapiga kura wa Tanzania siyo wajinga tena wanaijua pumba na wanaujua mchele.

Maendeleo hayana vyama!
 

Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,376
2,000
Hadi sasa wengi wanaoshangilia juhudi za waziri mpya wa Nishati ni wafuasi wa ACT wazalendo na Mange Kimambi na kuna wanalumumba wachache pia...
Magufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani.

Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
 

Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
7,516
2,000
Magufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani. Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
Ukweli wenye kuwajenga waliokuwa wasikivu.
 

kamjabari

JF-Expert Member
Mar 20, 2017
791
1,000
Magufuli atakuwaje kete ya ushindi ya CCM wakati yeye mwenyewe alikuwa anategemea kuteka, kupora kura, kupika idadi ya wapiga kura na kura? Sema zile mbinu chafu za Magufuli ndio kete iliyobaki ya CCM kubaki madarakani. Hakuna CCM tena ya kushinda kihalali kwenye box la kura. CCM inashupaza shingo tu, lakini haina uwezo tena wa kubaki madarakani.
Upo sahihi mkuu
 

delako

JF-Expert Member
Oct 6, 2012
2,646
2,000
Threads zinazomtaja Makamba zimekuwa nyingi na zisizo na umuhimu wowote maana yeye ni zero kwenye utendaji
 

imhotep

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
31,831
2,000
Tena ni lile libundi kubla lao🦉.
Sasa sisi kazi yetu iwe kuchochea kuni,wao huwa wanachocheaga kuni Upinzani tusielewane sasa ni zamu yetu.
chrisfreshhah.png
 

Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
2,763
2,000
Ajira mpya kwa vijana, uhuru wa vyombo vya habari na kutoa maoni, kufunguka kwa uchumi haswa mzunguko wa fedha na mambo yafananiayo na hayo ndio vitaipa ushindi CCM na si vinginevyo.

Tumuache Mzee wetu apumzike tusimhusishe kwenye frustration zetu za uteuzi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom