The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Zitto na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hoja ya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.
Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.
Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.
Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.
Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 za Marekani. Hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.
Kwa hiyo tukijenga kinyerezi 4 gharama yake ni 650x4=2.6T sawa na Megawati 960. Hivyo tutahitaji 6.5T kujenga kinyerezi 10 zenye kupata megawati 2,400.
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.
Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja inahitaji matengenezo makubwa.
Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.
Jambo lingine, nimwahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Sasa, kwa kua hizo hesabu za hapo juu za unit cost per kilowatt ni za kidunia, ukija kwetu ziko zaidi ya mara 3 yaani unit cost per kilowatt Tanzania ni shilingi zaidi ya 400 sawa na kuzalisha umeme kwa mafuta mazito (Nyakato 60MW) na hii ni kwa sababu gesi sio yetu, tulishaiuza hivyo itabidi gesi tuinunue kwa bei kubwa na gharama ya umeme lazima itakua kubwa. Sasa hivi tpdc ananunua gesi halafu anaiuzia tanesco, unit moja ya umeme ni zaidi ya 400.
Je tuendelee kutumia gesi ambayo ni gali zaidi ya mara 3 kwa bei za kawaida ila kwa kua tumeiuza gharam zake zinaenda zaidi ya mara 12 kwa sasa ama tutumie maji ya bure kabisa ya Mungu ambayo hatununui kwa mtu? Lakini pia gesi bado tutakua na gharama za juu za matengenezo ya mitambo yake.
Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.
Ama Canada hawajui kua maji yamepitwa na wakati? Canada, Brazil, Paraguay, China, Ghana, Eithiopia, India na nchi kadha wa kadha wao hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable, mbona wao bado wanajenga hydro plants?
Angalia hapa, China anajenga Baihetan Hydro Power project yenye megawati 16,000 ambayo itakua ndio plant ya pili kwa ukubwa China, bado haijakamilika, je China hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable source of electricity wajikite kwenye gesi?
Bado china ana mpango wa kujenga hydro project kubwa kuliko zote Duniani ya kutoa Megawati laki 6
Hii Red Rock Hydro Power inayojengwa Iowa Marekani, Je marekani hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable and outdated source of electricity watumie gesi pekee?
Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.
Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.
Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.
Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.
Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 za Marekani. Hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.
Harufu ya Ufisadi mradi wa umeme wa Kinyerezi II uliogharimu mabilioni ya Kitanzania
HARUFU YA UFISADI MRADI WA UMEME WA KINYEREZI II ULIOGHARIMU MABILIONI YA KITANZANIA. Harufu ya kuwapo kwa jipu la ufisadi katika mradi mkubwa wa umeme wa Kinyerezi II imebainika,huku Serikali ikitoa dhamana kwa kampuni inayoujenga. Mradi huo uliozinduliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya...
www.jamiiforums.com
Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.
Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja inahitaji matengenezo makubwa.
Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.
Jambo lingine, nimwahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Sasa, kwa kua hizo hesabu za hapo juu za unit cost per kilowatt ni za kidunia, ukija kwetu ziko zaidi ya mara 3 yaani unit cost per kilowatt Tanzania ni shilingi zaidi ya 400 sawa na kuzalisha umeme kwa mafuta mazito (Nyakato 60MW) na hii ni kwa sababu gesi sio yetu, tulishaiuza hivyo itabidi gesi tuinunue kwa bei kubwa na gharama ya umeme lazima itakua kubwa. Sasa hivi tpdc ananunua gesi halafu anaiuzia tanesco, unit moja ya umeme ni zaidi ya 400.
Je tuendelee kutumia gesi ambayo ni gali zaidi ya mara 3 kwa bei za kawaida ila kwa kua tumeiuza gharam zake zinaenda zaidi ya mara 12 kwa sasa ama tutumie maji ya bure kabisa ya Mungu ambayo hatununui kwa mtu? Lakini pia gesi bado tutakua na gharama za juu za matengenezo ya mitambo yake.
Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.
Canada's large hydro projects inch toward completion with bleak prospects
Two of the three large projects, years behind schedule and billions over budget, may finally reach commercial operation in 2021.
www.spglobal.com
Angalia hapa, China anajenga Baihetan Hydro Power project yenye megawati 16,000 ambayo itakua ndio plant ya pili kwa ukubwa China, bado haijakamilika, je China hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable source of electricity wajikite kwenye gesi?
Baihetan Hydropower Project, China - World's second biggest power plant
Baihetan hydropower project is a 16GW hydroelectric facility under construction on the Jinsha River, in south-west China.
www.nsenergybusiness.com
China unveils plan for world's largest hydropower project
China has released official plans to construct a major hydropower project on the Brahmaputra river in Tibet.
constructionreviewonline.com
Hydropower Projects | Hydroelectric Project Information
View the latest hydropower projects affecting the world today, as well as news and information for each project inclulding companies, status, location, and capacity.
www.hydroreview.com