Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,729
- 290,547
Mkurugenzi wa Itifaki na Mahusiano ya Kimataifa kutoka Makao Makuu ya Chadema , John Mrema , ameendesha kwa mafanikio makubwa mno kampeni ya Kisasa ya Chadema Digital huko Mbozi , ambako Maelfu ya wananchi wamejitokeza kusajiliwa .
Pamoja na usajili huo , kumefanyika pia kongamano la Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi .
Uhondo huu hapa , jionee mwenyewe .
Chadema na Wananchi , CCM na Polisi
Pamoja na usajili huo , kumefanyika pia kongamano la Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi .
Uhondo huu hapa , jionee mwenyewe .
Chadema na Wananchi , CCM na Polisi