Taifa lolote lenye nguvu duniani ni taifa lenye watu walio wazalendo na wenye akili nyingi na walio jiwekea misingi kuongozwa na watu wenye akili.
Taifa lolote duniani lililo na maendeleo na...
Watanzania wenzangu naomba tufanye tafakuri hii ili kuona na kupima maono ya viongozi wetu ambao tumewapa dhamana ya kutuongoza na kutufikisha katiko mafanikio ya juu kwenye historia ya mwanadamu...
RAIS wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ametoa pole Watanzania, wanafamilia kufuatia kifo cha aliyekuwa Waziri wa Fedha na Utawala wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na...
Kwako Mh J.J.P.MAGUFULI
Nakuomba kama kweli upo na dhamira ya kweli ya kupambana na rushwa na UFISADI nakuomba kwa niaba ya watanzania wenzangu
Nakuomba utangaze mali zako HADHARANI MAANA...
Niko maeneo ya mwenge DSM magari yamesimamishwa karibu saa nzima kisa Rais Samia anapita na msafara wake wa magari karibu 100.
Fikiria shughuli ngapi za watu kujitafutia mkate zinasimama, msafara...
Sijajua Waziri Kalemani anakwama wapi, hivi sasa yeye ndiye Waziri anayedharaulika kuliko Mawaziri wote,
Maagizo yake mengi yamekuwa yakipuuzwa sijui anacheka cheka na Raia au tatizo nini...
Yanayoendelea nchini kwa sasa kila mmoja anajionea dhahiri,hali tete,mipango inavurugwa ambayo kama Taifa tulijiwekea, nini kimetokea?
Huu ukimya kwa wale ambao tunaamini mnaushawishi lakini...
BASHE : SERIKALI ITAWALINDA WAKULIMA KWA GHARAMA ZOTE
Tanganyika, Katavi.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameweka wazi msimamo wa serikali juu ya kuwalinda wakulima nchini kufuatia...
Wabunge wawapo Bungeni huikisoa serikali vikali kwelikweli,huwabana mawaziri wa serikali kwa nguvu za hoja na hata kwa kejeli,huikosoa serikali Sana na mara nyingine hutoa maneno makali Sana.yes...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani atafanya Ziara ya kikazi Arusha kuanzia kesho Novemba 21, 2021.
Akiwa Arusha atawatunuku Kamisheni Maofisa Wanafunzi wa...
Katika miaka 25 ambayo Magufui amekuwa kinara wa ujenzi wa mabarabara nchi, barabra ya Busokelo -Tukuyu imetia fora kwa kusuasua! Hivi leo ni mwaka wa 26 sasa, hakuna fedha zinenda kwenye mradi wa...
WENGINE wanasema ni kukua kwa demokrasia ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), wapo pia wanaojisifia kwamba hizo ni dalili za kukomaa kwa chama, lakini kwa wenzangu na mie, hizo ni dalili za...
Leo asubuhi nilitaka kupita njia ya Ikulu ya huku baharini nikakuta imefungwa, kumbe kuna Maafisa wa JWTZ (Officer Cadets) wanakula kiapo leo na kuwa Maluteni usu. Hii shughuli ndo kwa mara ya...
Yaani miaka 60 ya uhuru nchi inaingia kwenye mgao wa maji!! Tena mgao maji yanapatikana siku moja kwa wiki
Bado kuna watu wanajiona eti wao ndio wenye hati miliki ya kuongoza nchi hii. Siku hizi...
January si Waziri asiyeaminiwa na wengi hata michango ya watu iwe mitaani ama humu mitandaoni ukweli huo unajidhihirisha.
Sasa ili kuwe na kuaminika tena kwa matatizo yahusuyo Nishati nikuombe...
Miaka mitano mfululizo tuliona misifa na mipambio ya kumsifu mtukufu kuwa anafanya vizuiri. Ghafla eti kila kitu kimesinyaa na mnavunja rekodi kwa kuleta hadi mgao wa maji.
Ukweli ni kwamba haya...
By Zitto kupitia twitter:
Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.