Salaam Wakuu,
Leo tarehe 18/11/2021 kesi ya Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe inaendelea baada ya kuahirishwa siku ya jana.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Yaliyojiri katika kesi ya Freeman...
Sera ya Chadema ya Kupinga kila kitu na kuishitaki Serikali kwa Mataifa makubwa hatimaye imesababisha Wananchi kukichoka chama hiki na kuanza kukiadhibu kwa hasira
Chadema kinaadhibu kwa sababu...
Wakati wa mwwshimiwa kikwete tuliaminishwa kwamba
1. Soon mgao wa umeme utakua historia. Akatoka madarakanai kaacha mgao unaendelea.
2. Tukaimbishwa nyimbo za uchumi wa gesi. Kiukweli wanasiasa...
Rais Samia akiwa mkoani Mwanza amesema anatambua uwepo wa upungufu wa umeme ikimaanisha vyanzo vilivyopo havikidhi mahitaji yaliyopo. Waziri wetu wa nishati aliliongelea suala la kukatikatika kwa...
Last week kulitokea kutofautiana kati ya Mkurugenzi aliyedai mafuta yaliyopo yatatosha kwa 14 days only, ghafla akarukiwa kama kifaranga na mwewe! Ndugu January akakanusha vikali mno hadi kutishia...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa matukio mbali mbali yakiwemo kushuka kwa kiwango cha hali ya usalama husababisha kuporomoka kwa utalii...
Sisi tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa, ninamaanisha kwamba tutaiondoa CCM madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi...
Salama humu,
Wale chawa wa awamu ya 6 wanajitahidi sana kufifisha yote mazuri yaliofanyika na kiongozi wa awamu ya 5!
Alikuwa na madhaifu yake kama binadamu ila swala la kukomalia social...
Kwanza Mama Shikamoo na Pole na Uchovu.
Kwa vile wewe najua unatupenda na una nia ya dhati ya kutuletea maendeleo ngoja nikupe kitu kidogo hapa.
Watanzania wote tulio umri kati ya miaka 20 hadi...
Nchi nyingi zinaingia kwenye vurugu na kutotawalika kwa sababu ya hali ngumu ya maisha ya wananchi wa eneo husika ,mfumo mbovu wa utawala,rushwa za waziwazi kabisa bila hatua kuchukuliwa na...
Sitegemei unafiki iwe jadi iliyokomaa kiasi cha namna hii nchini Tanzania.
Alivyoapishwa Samia Suluhu kwa kujua mapenzi na imani kubwa waliyokua nayo watanzania kwa Magufuli alisema baada ya...
Mara nyingi, Mbowe amekuwa ni mtu wa amani sana.
Kuna nyakati wafuasi wa chama chake walikuwa wakimtaka Mwenyekiti awape go ahead ya kufanya matendo ya kulipiza visasi kutokana na hila na uonevu...
Alidhibiti kwa kila namna wanaCcm wenzake walioliibia taifa la Tanzania kupitia sekta ya umeme. Hawa ni wale ambao kila mwaka walipiga dili kujifanya wanasaidia taifa kudhibiti upungufu wa umeme...
Sio siri tena kuwa kuna combination ya Zitto na January kwenye wizara ya nishati.
January aliteuliwa kuwa waziri wa nishati, zitto alisema ni teuzi nzuri na sasa tutashuhudia mabadiliko makubwa...
Kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe inaendelea leo kwenye mahakama ya mafisadi.
Pia soma > Mahakama ya Uhujumu Uchumi: Mvutano mkali kesi ya Mbowe na wenzake. Hatma...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni:
Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM.
Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90...
Kiukweli Rais Samia mpaka sasa tangu aingie madarakani ameenda Mwanza zaidi ya mara tano.
Sasa sisi wa Kusini tunauliza ni lini tutapokea baraka za kutembelewa na Rais? Au ule Moshi wa Ruangwa...
Mkurugenzi wa Itifaki na Mahusiano ya Kimataifa kutoka Makao Makuu ya Chadema , John Mrema , ameendesha kwa mafanikio makubwa mno kampeni ya Kisasa ya Chadema Digital huko Mbozi , ambako Maelfu ya...
Huwa nawaza sana tulifikaje hapa tulipo leo,
Hivi ilikuwaje taifa lenye wasomi wazuri kabisa likaamua kufanya maamuzi ya kipumbavu ambayo hata Waroma wa kale walioishi miaka 2000 iliyopita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.