Zitto Kabwe: Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,080
8,219
Ni dhahiri tatizo la Umeme limetokana na kupuuzia Miradi ya Umeme wa Gesi Asilia. Uongozi wa sasa utupe jawabu la changamoto hii twende mbele.

Changamoto ya Maji imesababishwa na nini? Nani alizuia Mradi wa Bwawa la Kidunda? Visima vya Kigamboni? Je tusubiri mvua? Isiponyesha?

1637406452866.jpeg
 
Nafiki kubwa hili likafie huko mbali sisi tunahitaji solutions na siyo umbea tu kwenye Miranda ya kijamii
 
Mwanasiasa ni mtu asie na uhakika na ubongo wake anategemea matukio ya wakati huo

Maneno ya chadema kuwa alitumwa na raisi wa awamu ya nne yanaweza kuwa ya uhakika maana kadili watu wanavyo tolewa na kuwekwa watu wa aina fulan ambayo watu wanaona ni awamu ya NNE zitto nae anaunga mkono bila kujali atashambuliwaje
 
Hi ndio hoja aliotoa?
 
Kwani naye sio sehemu ya utawala wa sasa? juzi tu kamuunga mkono rafiki yake Makamba kwa mipango feki aliyoitoa alipotudanganya Tanzania hatuna winchi ya tani 26, leo anakuja na viswali vya kitoto kuwadanganya malofa wamuone nae mpinzani wakati alishasema awamu hii hatapinga tena madarakani wako rafiki zake.

Mwambie jioni aende ikulu akaulize hayo maswali aache unafiki.
 
Hi ndio hoja aliotoa?
Inawezekana hoja isiwe hiyo ila nimejaribu kufwatilia mwenendo wake

Kwanza angalia alivyo jitahidi kumlinda assadi wakati mkataba umeisha

Kwa sasa huwez kumwona akimsemea mbowe kuwa ameonewa

Kila siku yuko kumsifia makamba na kuelekeza lawama kwa watu ambao hawapo katika upande wa kujibu hoja zake

Zitto ametawaliwa na udini zaidi

Na hayupo kwaajili ya watanzania wenzake
 
Back
Top Bottom