Tunahitaji kujuzwa kuhusu hali ya Mafuta nchini

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,427
85,872
Last week kulitokea kutofautiana kati ya Mkurugenzi aliyedai mafuta yaliyopo yatatosha kwa 14 days only, ghafla akarukiwa kama kifaranga na mwewe! Ndugu January akakanusha vikali mno hadi kutishia kumuwajibisha Mkurugenzi.

Kwa mtazamo wangu, naona Mkurugenzi alikua sahihi maana January "katudanganya" hata juzi kati kuwa kukatika kwa umeme ilitokana na Scheduled maintenance ila baadae Tanesco wakaongea lugha tofauti na Waziri wake...haaminiki tena.

Tuambiwe ukweli, tuna mafuta au hatuna? Wenzetu wa Dar mmeona meli zozote zikitia nanga au tusubirie hadi siku 14 ziishe ndio tuchague wa kumwamini?

IMG-20211118-WA0063.jpg

IMG-20211119-WA0075.jpg
 
Wewe unapiga kelele za mafuta lakini uku mitaani mambo ya mekua sio mambo kila kitu kiko juu, vifaa vya ujezi ndo usiseme kabisa vyakula bei iko juu, mzunguko wa pesa mdogo sana hata hatujui litakalo fuata
 
Kwanza mmekubali kuwa hamkuwa sahihi kumhusisha MKURUGENZI wa TPDC na kuitolea ufafanuzi "stock" ya mafuta?!!!!!

Je mnakubali kuwa hiyo ni kazi ya KAMISHNA WA PETROLI nchini?!!!

Mnakubali kuwa EWURA nao wanaweza kuutolea ufafanuzi na si TPDC?!!!

SIEMPRE JMT
 
Ni Bora kufanya matumizi mazuri ya hizo kamba, Bora kugeuka madobi, uwanja wakuanikia umeongezeka
 
Kwanza mmekubali kuwa hamkuwa sahihi kumhusisha MKURUGENZI wa TPDC na kuitolea ufafanuzi "stock" ya mafuta?!!!!!

Je mnakubali kuwa hiyo ni kazi ya KAMISHNA WA PETROLI nchini?!!!

Mnakubali kuwa EWURA nao wanaweza kuutolea ufafanuzi na si TPDC?!!!

SIEMPRE JMT
Kwahio unataka kusemaje? Mbona swali liko straight? Ngonjera za nini? Yapo au hayapo?
 
Wewe unapiga kelele za mafuta lakini uku mitaani mambo ya mekua sio mambo kila kitu kiko juu, vifaa vya ujezi ndo usiseme kabisa vyakula bei iko juu, mzunguko wa pesa mdogo sana hata hatujui litakalo fuata
Tuuwe Upinzani, viongozi wao tuwape kesi kubwa then tubaki wenyewe hakuna wa kutuhoji
 
Kwahio unataka kusemaje? Mbona swali liko straight? Ngonjera za nini? Yapo au hayapo?
Umeshasema mkurugenzi yuko sahihi ina maana umeshatanguliza hisia pasipo uhalisia....

Je mkurugenzi wa TPDC ndiye msemaji wa STOCK ya mafuta nchini ?!!!!

Jibu ili nisiendeleze ngonjera 🤣🤣
 
Nilichoandika nimeandika, andika unachoona ni hisia au sahihi kwako maana unajitoa ufahamu tu
 
Kwanza mmekubali kuwa hamkuwa sahihi kumhusisha MKURUGENZI wa TPDC na kuitolea ufafanuzi "stock" ya mafuta?!!!!!

Je mnakubali kuwa hiyo ni kazi ya KAMISHNA WA PETROLI nchini?!!!

Mnakubali kuwa EWURA nao wanaweza kuutolea ufafanuzi na si TPDC?!!!

SIEMPRE JMT
Nchi inaanguka kwa kasi kubwa sana.
 
Nchi inaanguka kwa kasi kubwa sana.
Kutoka mawingu ya wapi?!!!🤣🤣

Nchi iko safi tu......wasiwasi wa nafsi zenu tu.....

Bwawa la Mwalimu Nyerere megawati 2215....suala la muda tu .....

Siempre JMT
 
Last week kulitokea kutofautiana kati ya Mkurugenzi aliyedai mafuta yaliyopo yatatosha kwa 14 days only, ghafla akarukiwa kama kifaranga na mwewe! Ndugu January akakanusha vikali mno hadi kutishia kumuwajibisha Mkurugenzi.

Kwa mtazamo wangu, naona Mkurugenzi alikua sahihi maana January "katudanganya" hata juzi kati kuwa kukatika kwa umeme ilitokana na Scheduled maintenance ila baadae Tanesco wakaongea lugha tofauti na Waziri wake...haaminiki tena.

Tuambiwe ukweli, tuna mafuta au hatuna? Wenzetu wa Dar mmeona meli zozote zikitia nanga au tusubirie hadi siku 14 ziishe ndio tuchague wa kumwamini?

View attachment 2016643

View attachment 2016644

Lile neno lao pendwa -- "taharuki" -- kama naliona lileee eee! Wanakuja nalo.
 
Mkuu Brazaj yaani leo Komredi wako Lema anamkumbuka kwa mazuri kipenzi chetu JPM?!!!😳😳🤣🤣

Chambilecho wahenga waso haya na miji yao!!!!
 
Huu mgao umekuwa mkali ndani ya muda mfupi, hadi sasa huku maeneo ya goba baadhi ya nyumba hazina umeme.....sijawahi kuona mgao wa nyumba kwa nyumba, kwako hakuna umeme lakini kwa jirani upo.....huu ni uzwazwa.
 
Back
Top Bottom