Mtawala wa nchi yoyote anayehakikishiwa usalama wa madaraka yake na mataifa ya nje anajidanganya

mwananyaso

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
2,831
3,117
Nchi nyingi zinaingia kwenye vurugu na kutotawalika kwa sababu ya hali ngumu ya maisha ya wananchi wa eneo husika ,mfumo mbovu wa utawala,rushwa za waziwazi kabisa bila hatua kuchukuliwa na mamlaka .

Hii ndio hatari hunyemelea mataifa mengi hasa ya kiafrika na watawala kuishia kupewa hifadhi ughaibuni au kuachwa ndani ya nchi zao ili Sheria ifuate mkondo wake .

Aliesoma uzi huu ndio ujumbe ulimkusudia
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom