Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndiyo yale yaliyosemwa na Marehemu?

Lord denning

JF-Expert Member
Jun 3, 2015
8,102
2,000
Endelea kuamini mawazo na chuki za watu ambao kwao wanaua vikongwe kwa sababu wana macho mekundu Kwa kaamini kuwa ni wachawi!

Labda kama na wewe ni mmoja wapo kama mwenzako Suzy Elias maana ndo Naona mmeanzisha id mpya humu Kwa mikakati yenu ya kutengeneza nadharia na matango Pori kuwadanganya watu kwa chuki zenu tu!

Wewe Kikwete auze Gesi au Eneo la Bagamoyo alafu na Whistleblowers wa WikiLeaks au Panama papers huko wasione au kusema popote?
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
4,691

Hujanijibu mkuu. Ila umetoa povu tu kwa kitu ambacho hata wewe unahitaji majibu.

Andika tena AU subiri majibu.
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
5,441
2,000
Hivi bado siasa za awamu ya 5 mnazifuatilia, mbna tulishazisahau mda mrefu! Kwenye swala la uchumi hakuna option ingine zaidi ya decentralization
 
JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
4,691
2,000
Nini msingi wa swali lako?
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.

1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?

2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
8,835
2,000
Endelea kuamini mawazo na chuki za watu ambao kwao wanaua vikongwe kwa sababu wana macho mekundu Kwa kaamini kuwa ni wachawi!

Labda kama na wewe ni mmoja wapo kama mwenzako Suzy Elias maana ndo Naona mmeanzisha id mpya humu Kwa mikakati yenu ya kutengeneza nadharia na matango Pori kuwadanganya watu kwa chuki zenu tu!

Wewe Kikwete auze Gesi au Eneo la Bagamoyo alafu na Whistleblowers wa WikiLeaks au Panama papers huko wasione au kusema popote?
Hebu punguza kiherehere, umejigeuza msemaji wa kila kiongozi humu ndani.

Hao whistleblowers wa Wikileaks au Panama ni majini wajue kila kitu?
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,615
2,000
Natamani mtu mmoja atusaidie kutuambia ukweli kwa mambo yafuatayo.

1. Je, Gesi ya Mtwara ni ya Kwetu ama tulishauza tukaweka mpunga kwapani?

2. Je, Bandari ya Bagamoyo itakuwa yetu ama ndo yale yaliyosemwa na marehemu?
Hata ukijua itasaidia nn?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom