kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 11,189
- 24,611
Tuliandaa hoja ya magufuli atawale milele
Tukaja na mpango wa miaka 7 kwa Magufuli
Hatukukataa tamaa tukaanza kampeni hadi tibithiii kwamba mwendazake atawale hadi 2040
Sasa naona na Samia mumpigie chapuo? Kwani mataga mnakwama wapi? Kwani si anaupiga mwingi jamani? Tozo mnaziona? machinga mnawaona? Makato jee? kodi za jengo jee? Mbowe si kafungwa jamani?
Sasa kwa mazuri hayo ndugu mataga kwanini msianzishe kampeni ya kuongezewa muda
Kwani mataga si tumekubaliana kwamba anaupiga mwingi sasa kwanini hamtaki kumpigia debe aongezewe muda?
Aisee muongezeeni muda bhana wananchi tunampenda tozo zinajenga nchi sasa
Mwambieni kwamba aongezewe muda tu. Hangaya kipenzi chetu
Mimi naona waccm mataga sasa wamnadi SSH aongezewe muda?
Kwanini Hangaya hapigiwi debe?au hangaya hafai jamani
Aisee au mnasemaje mataga? Huyo bibi enu si mumnadi jamani hadi 2040 au wote mmenyooshwa