Waziri Makamba: Baada ya mwezi mmoja taasisi zote zinazohusika na Rasilimali Maji tutakutana ili tuwe na mkakati wa pamoja wa kulinda vyanzo vya maji!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
82,754
139,566
Waziri wa nishati January Makamba amesema serikali imepanga kuzikutanisha wizara na taasisi zote zinazohusika na rasilimali Maji naada ya mwezi mmoja ili kuweka mikakati ya pamoja ya ulinzi wa vyanzo vya maji.

Naye msimamizi wa bwawa la Nyumba ya Mungu amesema bwawa hilo limebakiza kina cha sentimita 89 kufikia ukomo wake.

Waziri Makamba yuko katika ziara ya kukagua mito na maziwa mkoani Manyara.

Source: ITV habari
 
natamani na mimi ningekuwa kwenye position ya kuyaibia ma zombie ya nchi hii, ni kuyakamua tu hadi damu mamaee zao
Mimi Ndo usiseme. Ningekuwa benki kuu na mega kabisa hazina Bila uwoga na aibu 'e thed' of national budget naenda kutapanya kwa mademu wakali kwa kuwanunulia Magari na apartments masaki.

NO MERCY KWA MAZOMBIE.
 
Makamba anavyosakamwa najikuta namfananisha na jk kabisaa! Nieleweke kuwa nayaona makubwa mbele yake........he is going to make it, that I am sure of!
 
Ngoja tuone.

Aina ya wapiga kura imebadilika sana!
Mkuu, baraka na mafanikio vimo ndani ya dua mbaya za wenye chuki na wivu.....amini nakwambia, bad wishes na kila aina ya uzushi wenye lengo la kudhalilisha hugeuzwa (na Muumba) kuwa duwa njema kabisa ambayo hujibiwa haraka. Makamba anakuja mkuu, anakuja!
 
Waziri wa nishati January Makamba amesema serikali imepanga kuzikutanisha wizara na taasisi zote zinazohusika na rasilimali Maji naada ya mwezi mmoja ili kuweka mikakati ya pamoja ya ulinzi wa vyanzo vya maji...
Na wasimamizi wa bwawa la kihansi na kidatu wanasemaje? Tuone na video clip kama tulivyoona mtera

mgao wa umeme ni hasara kwa tanesco inapoteza wateja na pato la nchi
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom