Hivi kwanini kuna watu wakisikia jina la January Makamba wanapatwa na hofu?

James Martin

JF-Expert Member
Apr 2, 2016
1,206
1,509
Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote.

Kitu kingine ambacho sikielewi ni kwamba huyu kijana amekuwa waziri kwa takribani miezi mitatu sasa lakini watu wanataka mambo yabadilike ki miujiza bila ya kumpa nafasi ya kuleta mabadiliko.

Hii inapelekea mimi kujiuliza, hivi hawa watu ni kweli wanachukia utendaji wake au kuna jingine?
 
Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Mti wenye matunda...

P
 
Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Reputation ya January iliharibika zilipovuja sauti zao na nape wakimteta Rais na magazeti ya msiba yalichangia kumpaka matope. Lakini pia ugumu wa wizara ya nishati kuhusika sana na ufisadi awamu ya nne ambayo ilimkuza sana kisiasa. Ila kijana Yuko smart sana japo ni opportunist kama wengine.

Kuna kiongozi flani alipanda chuki sana ili kujifaidisha yeye kisiasa na kundi lake wachache tuliliona hili, kiongozi hiyo hakuwa na compromise na baadhi ya watu ambao pengine alihofia umaarufu wao hivyo aliwasiliba kwelikweli Watanzania wakaishi nayo. Ukiwa na kiongozi ambae hajali kuhusu maridhion ( conciliation ) muogope kama ukoma anaweza kupasua nchi vipande
 
Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Kuna mpuuzi Suzy Elias aliyekuwa anatumia Jina Veronica France aliwaaminisha chato gang kuwa anahusika na kifo cha Mzee yule nao wakaamini wakisahau kuwa covid haijawai kuwa na masikhara na watu wenye vibuli.

Kumbuka sehemu ya chato gang ndo wanaongoza kwa kuua vikongwe na watu kwa kuhisi tu ni washirikina bila ushahidi!
 
Kwa siku kadhaa sasa nikipitia humu JF naona jina la January Makamba linatajwa sana, hasa kwa mabaya. Lakini cha kushangaza watu hao wanaomsema kwa mabaya hawana ushahidi wowote...
Tuna kumbukumbu mbaya dhidi ya huyu Kigogo14 wenu.

Kwanza alikopa mahela kupitia mgongo wa wana Bumbuli na akawapiga na hata huko Benki nadhani bado anadaiwa.
Ndio maana anahaha kusaka fedha kwa njia zozote ili alipe MADENI.

TUNAMJUA!
 
Kuna mpuuzi Suzy Elias aliyekuwa anatumia Jina Veronica France aliwaaminisha chato gang kuwa anahusika na kifo cha Mzee yule nao wakaamini wakisahau kuwa covid haijawai kuwa na masikhara na watu wenye vibuli.

Kumbuka sehemu ya chato gang ndo wanaongoza kwa kuua vikongwe na watu kwa kuhisi tu ni washirikina bila ushahidi!
Hizo zilikuwa conspiracies mbaya sana kuwahi kuona na vijana wengi waliziamini kuwa nikweli. Kuna haja mitara ya shule zetu ifumuliwe na usikwe ili vijana wapende kudadisi mambo aisee ulikuwa ukisoma comments unaweza kulia
 
Back
Top Bottom