Sijajua kwanini Magufuli hakurusu Uchaguzi Huru halafu baadae Polepole awaungishe juhudi wabunge wazuri wa Upinzani siyo akina Mdee

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,866
Ingewezekana tu katika demokrasia pana, unawashindanisha wagombea wote katika fair ground ili uwapate wale wanaopendwa kwa dhati na wananchi.

Baadae Idara ya Uenezi ya chama inafanya ushawishi ili wabunge na madiwani wa upinzani wenye sifa za uteuzi waweze kuunga mkono juhudi na kuhamia CCM.

Kisha unakuwa na baraza la mawaziri lililosheheni weledi na ubunifu.

Nakumbuka 2015 Rais Kikwete alipinga utaratibu wa kuwapitisha watu bila kupingwa kwenye majimbo na kuwanyima wananchi fursa ya kuchagua.

Hongera RC Queen Sendiga kwa kujiunga CCM.

Maendeleo hayana vyama!
 
Back
Top Bottom